Tangazo unalolipenda

Kwani

JF-Expert Member
Jan 12, 2016
455
562
Binafsi kwa sasa napenda tangazo moja la vodacom ongea deilee sijui wewe ni lipi na ambalo silipendi ni la coca cola
 
Napenda la Joti
"Si suala la kuelewana tu mke wangu? Nisameheee"
Daaah,la ukweli sana.
Nachukia la voda ongea deile,moja kati ya matangazo mabovu kabisa kuwahi kutokea.
 
tangazo la coca cola onja msisimko, nizurisana hasa varsion ya dimond cant resist it, najikuta naimbanaye
 
Napenda la Joti
"Si suala la kuelewana tu mke wangu? Nisameheee"
Daaah,la ukweli sana.
Nachukia la voda ongea deile,moja kati ya matangazo mabovu kabisa kuwahi kutokea.
Nilijua ni mimi tu, La Deile Jipu Wameboronga.
 
Coca cola hanaga matangazo mabaya they are very creative sanaa
Wako safiii
Ubaya ni pale mtu anakua haelewiii but ukulielewa unaenjoy
 
Back
Top Bottom