Natangaza maandamano ya nchi nzima kwa
wamaume wote ambao wamechoshwa na kufanywa
kama ATM machine na wapenzi wao
ha ha ha..... Mnaandamana nini??? Toka lini atm ilitoa pesa bila password... Dawa ni ndogo tu... Hutaki kua atm usitangaze brand yako wala usitoe namba yako ya siri.....
nakuomba fafanua plse umetumia lugha ngumu sana sio rahisi kueleweka , tusaidie tujue nini unamaanisha!
Sasa sisi akina bushoke simnataka tufungiwe vio??Wengi ukizikamata mamsapu ndo anakupangia matumizi!
Mhmm sijawai kuchunwa labda ina raha yake!
We wa kiume?Hahahahahahahah lol
Dahhhhh..
Na mi ntajiunga na nyie mmhh
nakuomba fafanua plse umetumia lugha ngumu sana sio rahisi kueleweka , tusaidie tujue nini unamaanisha!
hahaha,una utani na Afro eh