Nimeshafika hatua ya kuachana naye maana sina jinsi kila mara ni vituko, vimbwenga na majanga ya kila namna nisaidieni nifanyaje?
Pole sana my dia hata me nipo kwenye wakati mgumu kama huo ni juzi tu tangu niachane na zubedayo_mchuzi. I do understand your pain
Bado nakusanya list ya haters..
HATERS:
Kipaji Halisi Bishanga Innobwoy
WANITAKIAO MEMA:
Baba V Paloma watu8 Mamndenyi Bujibuji Lady doctor shem wa ukweh..
SIWAELEWI WAMESIMAMA UPANDE UPI:
mimisa nitonye Arabela Heaven on earth sosoliso
We we we wee sosoliso acha kunchonganisha na The secretary, huyu Mentor longtime kashindikana ladyfurahia bora umempiga chini saizi yake
tatizo mentor ujana mwingi..starehe kibao..mara kijiji chetu..mara mahaba beach..pole@ladyfurahia
Ndoa kama haina msingi imara ni rahisi kuyumba hadi kuvunjika. Bado na ya The secretary maana nasikia iko kwenye angle mbaya
sijampiga chini bali nafikiria kumpa ban yake ila niko njia panda sijui nifanyeje na moyo umeshakuwa hivi View attachment 100685kati yetu
Mtambuzi com zis wei pliz, embu msaidie huyu mwali! Kwani jana ilikuwaje tena?!?! ladyfurahia pole kwa yaliyokusibu! Ila kutokana na ulivyoandika sijui nikushaurije ilhali umeshaamua kuacha na na mdogo wangu Mentor? Mentor nawe naomba ujongee hapa unene walau neno moja nipate tulia, mie na shemjei yako sosoliso
Hayo ndo mambo ya staki nataka........wanawake bana......
Bado nakusanya list ya haters..
HATERS:
Kipaji Halisi Bishanga Innobwoy
WANITAKIAO MEMA:
Baba V Paloma watu8 Mamndenyi Bujibuji Lady doctor shem wa ukweh..
SIWAELEWI WAMESIMAMA UPANDE UPI:
mimisa nitonye Arabela Heaven on earth sosoliso
Umefikaje huko ustawi ilihali kwangu hujawahi leta malalamiko...!?? inawezekana wewe ndo una matatizo na ndio maana hata ofisi yangu hujaishirikisha...
Mentor na ladyfurahia..wote nawatakia mema..ndoa ni kitu chema..vumilianeni..
Bado nakusanya list ya haters..
HATERS:
Kipaji Halisi Bishanga Innobwoy
WANITAKIAO MEMA:
Baba V Paloma watu8 Mamndenyi Bujibuji Lady doctor shem wa ukweh..
SIWAELEWI WAMESIMAMA UPANDE UPI:
mimisa nitonye Arabela Heaven on earth sosoliso
pole ladyfurahia..ndoa yahitaji uvumilivu