Kwa kweli kusema tusubiri serekali imekata rufaa ni kukosea maana serekali ndio imetufikisha hapa na kwa mtiririko wa tangu Richmond inaanza mpaka hapa hakuna zaidi ya usanii tuu unafanywa na serekali na mwisho wa siku tutarudi hapahapa tulipo kwamba kisheria serekali ina makosa, sasa kuandamana ni kuiambia serekali inalazimika kuwajibika kikamilifu na hili na sio porojo za danadana hizi wanazofanya, hivi sisi watanzania tunachoogopa haswa ni nini? hizi hela zitakazolipwa tufahamu kwamba ni sisi ndio tutagharamika na sio hao viongozi wazembe ambao zaidi wataambulia lawama za mitaani pembenipembeni kama tulivyozoea kama makondoo, kweli tunahitaji kuwa serious zaidi ya maneno, tunahitaji vitendo jamani. OHOOOOOO!!!!!!!!!.PAMOJA SANA!