Tangazo la Wizara ya Nishati ni kichekesho

Hapa hata kwa mtoto asiyejua hata hili skendo ukiwaeleza kwanza watakuona mwehu. Inakuaje wakumbatieni kwa furaha halafu waseme ni bahat mbaya?. Kama haikupangwa wale wafanyakazi walitoka vp ktk ofis zao bila ridhaa ya mkuu wao.
 
Mi nafkir Vasco daGama alichemka kumstop J-iro peke yke,alipaswa kuagiza wote waloshrk mapokez na kuacha majukumu ya msingi wawajibishwe mara moja,lakini pia hyo ngeleja anapaswa kutupwa nje ya ofc now as toka amekuwa wzr hana la kujivunia alilolifaoya zaid ya usanii mtupu.

Kwa mtazamo wako wewe unadhani JK yupo kinyume na J-iro kustopishwa? Hujui kuwa kaugeuka baada ya kuona nchi imechachamaa? Huwa siwaelewi wananchi ambao huwa wanamshauri rais awawajibishe wasaidizi wake, are they really serious? Yeye unayemshauri ana ubora upi hasa.
 
Ngeleja alitamani sana kulisukuma gari la Jah-hero sema aliogopa macho ya watu!<br />
Shame on you Nge.le.ja
<br />
<br />
Hata mkulu naye ungemsikia angempongeza Jairo iwapo wabunge wasingeleta noma, yaani alikuwa anasikiliza upepo lakini kilaza Ngeleja akaanza sherehe mapema na sasa aibu imempata anajifanya kukanusha na wizara yake, labda mapunga ndo wawapelekee hiyo taarifa yao
 
hahahahaaa!
Shosti halafu bwabwa! Yani hata ukibadili piston rings zote, sleeves, ukichonga block, ukibadili timing beld, ukiweka cranck shaft mpya, bado....bado kitu inalia nock nock....yani ccm is a rotten bedford!

hiyo nimeipenda
 
Baada ya mawaziri wa wizara hiyo waliomtangulia kuondoka kwa matokeo ya kamati ya bunge kama hii,bila shaka anafata pia..angekuwa na busara hata yeye angeomba likizo,YEYE BINAFSI
 
Poleni wote mnaoshangaa
Jairo ni zaidi ya mnavyofikiria
Kikwete ndiye aliyemteua
Ufisadi ukamkolea
Bunge likamshtukia
Pinda akamgunia
Luhanjo akamtetea
Utoh akamsafisha
Wizara ikampokea
Ngeleja akamkumbatia
Zitto akamchongea
Ole Sendeka akamkana
Bunge likataharuki
Ikulu ikajihami
na sinema yaendelea......
 
waache kutuzuga kitoto. Jairo ndokashika mpini

inajulikana pale wizarani Jairo ni bosi wa Ngeleja ndio maana nae alipanga foleni kumlaki mkuu wake
 
Poleni wote mnaoshangaa
Jairo ni zaidi ya mnavyofikiria
Kikwete ndiye aliyemteua
Ufisadi ukamkolea
Bunge likamshtukia
Pinda akamgunia
Luhanjo akamtetea
Utoh akamsafisha
Wizara ikampokea
Ngeleja akamkumbatia
Zitto akamchongea
Ole Sendeka akamkana
Bunge likataharuki
Ikulu ikajihami
na sinema yaendelea......

yale yaleeee edi naye akanikimbia


5842802579_9173cc4033_b.jpg
 
Back
Top Bottom