Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 11,045
- 10,496
Mwenzangu ebu nigaie japo elfu 3..
Kweli kabisa mimi huwa nalisubiri hili Tangazo kila jioni wakati wa taarifa ya habari.....linaburudisha moyo....Ni kweli
nyamchele, tangazo liko sexy sana, hasa huyo
mdada mmoja mwenye shanga nyeupe shingoni anavyotingisha kichwa na
kurembua anapoambiwa 'wekeza!'Nikimtazama huyo dada mawazo yangu
husafiri masafa marefu mno.Ninavyolipenda hilo tangazo!
wekeza ni promo ya kushare profit ya tigo na wateja wake, kwa hio average kwa kile unachokiweka ktk account yako ndio unapewa
baada ya hapo watapiga average tena baadaya miezi mitatu na kupewa tena
Tuma neno WEKEZA kwenda 15514
Ni kweli nyamchele, tangazo liko sexy sana, hasa huyo mdada mmoja mwenye shanga nyeupe shingoni anavyotingisha kichwa na kurembua anapoambiwa 'wekeza!'Nikimtazama huyo dada mawazo yangu husafiri masafa marefu mno.Ninavyolipenda hilo tangazo!
Kweli kabisa mimi huwa nalisubiri hili Tangazo kila jioni wakati wa taarifa ya habari.....linaburudisha moyo....
Mi nimetuma hayo maneno kwenda namba hzo ila mpaka leo sijapata kitu japo waliniambia nisubr baada ya masaa 24 ila nimewapigia kujua utaratibu zaid wameniambia niendelee kusubir kwan wanapiga tangia nimeanza kutumia tigo pesa so nawait
Aisee nyamchele kumbe tunafanana kwenye hisia.Pengine huyo dada angekuwa anaishi mahali ambapo mimi na wewe tunapafahamu si ajabu tungekutana huko tukimchepukia! Ananikosha huyo dada!Kweli kabisa mimi huwa nalisubiri hili Tangazo kila jioni wakati wa taarifa ya habari.....linaburudisha moyo....
Hahahah,
Na Leo Wife wamemgawia 11,000 ,na Pia Sister wangu kagaiwa pia 11,000
Dogo wangu mmoja wa kiume yeye kapewa 700
Nikagundua inategema na matumizi yako ya Tigo Pesa,na wenye kupata gawio Kubwa ni wale wenye kuweka mwanzo na sio wanaorushiwa.
So,far home familiy tunaoshi hapa ikiwemo mie,sister na wife,Tigo imetugawia Tsh:27,000 in total kwa sie watatu,huyo wa mia saba hana issue.
Nasema Nashkuru sana TIGO kwa hilo,Mungu awajaalie na Mbarikiwe.
Mungu humpenda na kumuongezea anaeshkuru hata kwa kidogo.Tsh:27,000 ndani ya familia in one day sio mchezo.
Kweli kabisa mimi huwa nalisubiri hili Tangazo kila jioni wakati wa taarifa ya habari.....linaburudisha moyo....