Mimi.nimepewa 107000 huwezi amini. Mpl leo nina wasiwasi pengine watazichukua wenyewe
Kila nikiikumbuka desi napata mawenge na ishu hizi za pesa za dezo dezo ila naamin hii dawa ni kuwa wa kwanza kwanza kama hiv
Hapa kinacho matter ni matumizi yako ya Tigo tu. kama ni mpenzi wa TIgo sana subiri mahela
hizi ni promotion na publicity... Badala kutenga milioni kadhaa na zote kuzipeleka kwenye media kutangaza wakitoa zawadi/riba kubwa kwa wateja hii itasaidia wengine kujiunga as well as kuwaambia wengine na kuwa gumzo kwa raia hii in promotion wise ni money well spentKila nikiikumbuka desi napata mawenge na ishu hizi za pesa za dezo dezo ila naamin hii dawa ni kuwa wa kwanza kwanza kama hiv
hizi ni promotion na publicity... Badala kutenga milioni kadhaa na zote kuzipeleka kwenye media kutangaza wakitoa zawadi/riba kubwa kwa wateja hii itasaidia wengine kujiunga as well as kuwaambia wengine na kuwa gumzo kwa raia hii in promotion wise ni money well spent
Thanks very much mkuu, umeeleweka vyema hapo nawapa like watu wa marketing department wa tigo, hii imenivutia sana
Umenikubusha. THENKI YOU VERE MACHI kutoka kwa mdada fulani katikati ya nchi
Mkuu unazid kunipa moto kesho niko ofice za tigo kusaka uteja,, uliweka shilling ngapi,, na kwa muda gani hadi umepata hyo yote,,? Kama inategemea na transaction zako transaction ngapi umefanya kwa muda huo,, mkwanja mrefu huo mshahara wa mlinzi wa mwezi wa shule za primary za serikal huoNinevuta 61,000 sikuaminii
..Natumiwa mauzo na manunui sh 1.6 Mil kwa wik hivi na kuwalipa mafundi sh 200 000 kwa sikuMkuu unazid Kama inategemea na transaction zako transaction ngapi umefanya kwa muda huo,, mkwanja mrefu huo mshahara wa mlinzi wa mwezi wa shule za primary za serikal huo
..Natumiwa mauzo na manunui sh 1.6 Mil kwa wik hivi na kuwalipa mafundi sh 200 000 kwa siku