Tangazo la Wekeza la Tigo

Tangazo la Wekeza la Tigo

Ki msing hata mm walinipa, nahc weng wamewabamba, TIGO express yourself.. Ushaur ukiwa mjin na mwambaon mwa pwan tumia tigo.. Ni rahis ni pouwa ni yakooooooooooo..
 
m-power ni benki; hii unapewa profit ya Tigo, je voda wanatoa hivyoooo
Uliza watu kibao, wamepata mahela kwa kuweka tuu,
Kama kitu ni kizuri unaiga na unakiimarisha zaidi
Hata mimi mkuu nimepata sikuwa najua lolote nikashangaa nimeingiziwa 64,800/= Kama ni hivyo ni jambo zuri naona wanatoa faida nzuri kuliko benki kwani shida ya benki hawana faida nzuri na kila mwezi wanakukata eti kitu wanaita "maintanance fee" Wizi mtupu!
 
quote_icon.png
By Mwana hapa hapa

m-power ni benki; hii unapewa profit ya Tigo, je voda wanatoa hivyoooo
Uliza watu kibao, wamepata mahela kwa kuweka tuu,
Kama kitu ni kizuri unaiga na unakiimarisha zaidi

kweli
 
kama unaweza pata 10,000, si unaweka mahela na kupata zaidi

Ikiwa unatoa sana hela kwenye tigopesa ndio una nafasi ya kupata pesa nyingi. Mimi nilikuwa na 1,238,030 wakanipa 91,168 ila kuna rafiki yangu alikuwa na robo ya kiasi nilichonacho mimi lakini huwa anatoa sana pesa ktk tigopesa wamempa 70,000. Mimi baada ya kuweka kwenye account huwa natuma zaidi kuliko kutoa.
Ova
 
wekeza tigo naona wamejipanga, lakini mpawa utani mtupu! hata kamisheni ya mpesa kwa mawakala wao ni ndogo sana ukilinganisha na makato toka mteja! niliweka sh 15000 mpawa, miezi mitatu nikapewa faida sh 48.18, tigo wekeza niliweka sh 28000, nimeletewa faida sh 900,
Hawa mpawa hapo kweli wanatuibia. Hivi TCRA wanafanya kazi gani? Kwa hesabu za haraka hapo ni kua umepata faida ya 0.3% kwa uwekezaji wako, ambayo kwa kiwango ulichoweka huezi hata kununulia pipi. Mpawa ni kama loyalty card ya hawa wahindi wa Nakumatt, eti ukitumia TShs 1m eti ndo unapata points 500 ambayo hununui hata sabuni ya kuogea! what a joke!
 
Playing with our minds...!! But because we think they are saints n they don't want to make profit
 
Hapana wakuu kuanzia sasa itakua kila baada miez mitatu unapewa chako
 
Back
Top Bottom