Tangazo la Wekeza la Tigo

Tangazo la Wekeza la Tigo

Mwenzangu ebu nigaie japo elfu 3..

Hahahah,
Na Leo Wife wamemgawia 11,000 ,na Pia Sister wangu kagaiwa pia 11,000
Dogo wangu mmoja wa kiume yeye kapewa 700

Nikagundua inategema na matumizi yako ya Tigo Pesa,na wenye kupata gawio Kubwa ni wale wenye kuweka mwanzo na sio wanaorushiwa.
So,far home familiy tunaoshi hapa ikiwemo mie,sister na wife,Tigo imetugawia Tsh:27,000 in total kwa sie watatu,huyo wa mia saba hana issue.

Nasema Nashkuru sana TIGO kwa hilo,Mungu awajaalie na Mbarikiwe.
Mungu humpenda na kumuongezea anaeshkuru hata kwa kidogo.Tsh:27,000 ndani ya familia in one day sio mchezo.
 
Ni kweli
nyamchele, tangazo liko sexy sana, hasa huyo
mdada mmoja mwenye shanga nyeupe shingoni anavyotingisha kichwa na
kurembua anapoambiwa 'wekeza!'Nikimtazama huyo dada mawazo yangu
husafiri masafa marefu mno.Ninavyolipenda hilo tangazo!
Kweli kabisa mimi huwa nalisubiri hili Tangazo kila jioni wakati wa taarifa ya habari.....linaburudisha moyo....
 
Last edited by a moderator:
Mi nimetuma hayo maneno kwenda namba hzo ila mpaka leo sijapata kitu japo waliniambia nisubr baada ya masaa 24 ila nimewapigia kujua utaratibu zaid wameniambia niendelee kusubir kwan wanapiga tangia nimeanza kutumia tigo pesa so nawait
 
hebu anayejua vizuri hii mambo atueleweshe ukiweka laki unapata ngapi na baada ya siku ngapi au ukiweka milioni unapata ngapi faida
 
wekeza ni promo ya kushare profit ya tigo na wateja wake, kwa hio average kwa kile unachokiweka ktk account yako ndio unapewa
baada ya hapo watapiga average tena baadaya miezi mitatu na kupewa tena
Tuma neno WEKEZA kwenda 15514

Hawakati chochote?? Usikute wanakula salio lako la tigopesa
 
Ni kweli nyamchele, tangazo liko sexy sana, hasa huyo mdada mmoja mwenye shanga nyeupe shingoni anavyotingisha kichwa na kurembua anapoambiwa 'wekeza!'Nikimtazama huyo dada mawazo yangu husafiri masafa marefu mno.Ninavyolipenda hilo tangazo!

hahaha
 
Last edited by a moderator:
Mi nimetuma hayo maneno kwenda namba hzo ila mpaka leo sijapata kitu japo waliniambia nisubr baada ya masaa 24 ila nimewapigia kujua utaratibu zaid wameniambia niendelee kusubir kwan wanapiga tangia nimeanza kutumia tigo pesa so nawait

Subiria mkuu,mie nilituma Ijumaa nimepata jana.
Na wife na sister walituma juzi wamepata leo.
Vuta subra.Unaweza kutumia pesa kuwapigia kumbe mgao ukawa shilingi mia saba tu kama Mdogo wangu alivyopata.
 
Kweli kabisa mimi huwa nalisubiri hili Tangazo kila jioni wakati wa taarifa ya habari.....linaburudisha moyo....
Aisee nyamchele kumbe tunafanana kwenye hisia.Pengine huyo dada angekuwa anaishi mahali ambapo mimi na wewe tunapafahamu si ajabu tungekutana huko tukimchepukia! Ananikosha huyo dada!
 
Last edited by a moderator:
safi sana tujuzeni faida unaipatapataje.....halafu ni nakapenda kale kadada kama hakajui vizuri kiswahili kanavyouliza WEKEZA?.....UUUUUUUUUWIIIIIII nice attempt!
 
Leo wameniwekea buku sita toka TIGO wekeza...thanks tigo
 
mi wameniwekea elfu kumi leo ila tangazo lao silipendi binafsi,la ovyo kabisa,ndo wanachezaje vile sasa!shingo ova zinakatika..
 
wekeza tigo naona wamejipanga, lakini mpawa utani mtupu! hata kamisheni ya mpesa kwa mawakala wao ni ndogo sana ukilinganisha na makato toka mteja! niliweka sh 15000 mpawa, miezi mitatu nikapewa faida sh 48.18, tigo wekeza niliweka sh 28000, nimeletewa faida sh 900,
 
mi leo wameniwekea sh. 11,000 nikaenda kuitoa kwa wakala fasta! asante tigo
 
Hahahah,
Na Leo Wife wamemgawia 11,000 ,na Pia Sister wangu kagaiwa pia 11,000
Dogo wangu mmoja wa kiume yeye kapewa 700

Nikagundua inategema na matumizi yako ya Tigo Pesa,na wenye kupata gawio Kubwa ni wale wenye kuweka mwanzo na sio wanaorushiwa.
So,far home familiy tunaoshi hapa ikiwemo mie,sister na wife,Tigo imetugawia Tsh:27,000 in total kwa sie watatu,huyo wa mia saba hana issue.

Nasema Nashkuru sana TIGO kwa hilo,Mungu awajaalie na Mbarikiwe.
Mungu humpenda na kumuongezea anaeshkuru hata kwa kidogo.Tsh:27,000 ndani ya familia in one day sio mchezo.

Mimi.nimepewa 107000 huwezi amini. Mpl leo nina wasiwasi pengine watazichukua wenyewe
 
For Promotional Use Only
~~~~~~~~~~~~~~~~~~
Wekeza kuna jamaa yule Baunsa aliyepo gengeni na yule dada anajifanya kiswahili hajui wananiboa kwenye tangazo ila yule mkulima mwenye pengo yupo fresh pamoja na yule brother man anayemalizia wekeza!
 
Kweli kabisa mimi huwa nalisubiri hili Tangazo kila jioni wakati wa taarifa ya habari.....linaburudisha moyo....

!
!
kuna mdada mmoja kapiga suruali ya kubana na top ya njano na high heels,aiseee. Napenda sana demu atupie jeans tight na high heels.
 
Back
Top Bottom