sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,293
hahahahaaa...huyu jamaa nae nomaa...!!na lile la mkongo man je.....mim naitwaga Mududu,mutu pekee naishi kwenye chumba yenye choo ndani!ha ha ha

wadau habari za saa hizi... Jamani kuna hili tangazo la vodacom la sasa kwenye redio nyingi, lina mtu anaongea kwa vionjo vya kihaya, kwakweli ananivutia saaana,,,mwishoni tangazo linaishia ''kwaniii duka roote shiringi ngapii??'',, nadhani wengi wenu mnalijua,,, nimejaribu kulitafuta utube sjalipata,, kuna mdau yoyote anaweza kuliweka hapa au kutupa link yake,,, shukrani wakuu
Bonge ya tangazo...Pia lile la "nimeshindaaa....nimeshinda mke wanguuu.......