Tangazo La Tigo Jazwa Ujazwe Lina Ukakasi

Baada ya tangazo lao kupokelewa vibaya wameongeza maneno ya kueleweka kwenye tv lakini hayo maneno hayapo kwenye mabango yao barabarani. Kampuni nyingine nayo inaweza kuiga maneno tata kama TIWA UTIWE maana wanaigana sana kuvutia wateja
 
9e809dfa5e13d14409803f43b7b3f278.jpg
 
Back
Top Bottom