Naunga mkono hojaWao ndio wamekua na kigugumizi
Steering. ...nanihii..aka...na...niiKuna tangazo la Tigo liko hewani kwa takribani week tatu sasa likitambulisha kasi ya huduma yao ya 4g.
Hili tangazo kwa kweli linadhalilisha wenzetu wenye tatizo la kuongea sijui kitaalamu hili tatizo linaitwaje japo wengine wanaita kigugumizi
Watu mlioko Marketing Tigo mmekosea sana kuna vitu vingi mnaweza kuvifananisha na spidi ndogo ila sio tatizo la wenzetu amabao hawawezi kuongea bila kugandisha maneno. Tafadhali ondoeni tangazo hili sokoni.
Wewe ni mmoja wa waliotengeneza hilo tangazo bila shaka*Mbona sio kigugumizi kinachosemwa kwenye tangazo lile, huwa kinachosemwa ni kwikwi ambalo hakuna mtu anaedumu na tatizo hili la kwikwi, maana muda mwingine dawayake ni kunywa maji tu. Hebu rudi kwenye tangazo usikilize tena utabaini wanachokisema.
Unataka jibu lipi ili uone sihusiki na kutengeneza, bali ni msikilizaji wa tangazo nilielewa maneno yaliyatumika kwenye tangazo.Wewe ni mmoja wa waliotengeneza hilo tangazo bila shaka*
Mbona sio kigugumizi kinachosemwa kwenye tangazo lile, huwa kinachosemwa ni kwikwi ambalo hakuna mtu anaedumu na tatizo hili la kwikwi, maana muda mwingine dawayake ni kunywa maji tu. Hebu rudi kwenye tangazo usikilize tena utabaini wanachokisema.
stummerKuna tangazo la Tigo liko hewani kwa takribani week tatu sasa likitambulisha kasi ya huduma yao ya 4g.
Hili tangazo kwa kweli linadhalilisha wenzetu wenye tatizo la kuongea sijui kitaalamu hili tatizo linaitwaje japo wengine wanaita kigugumizi
Watu mlioko Marketing Tigo mmekosea sana kuna vitu vingi mnaweza kuvifananisha na spidi ndogo ila sio tatizo la wenzetu amabao hawawezi kuongea bila kugandisha maneno. Tafadhali ondoeni tangazo hili sokoni.
Hapana,yule anayeigiza anaigiza ana kwikwi na wala si kigugumizi,ndio maana yule mwenzake wanaobishana anamwambia "ebu tuondolee kwikwi zako hapa" sasa kwikwi ni shida ya mara moja tu na ukipata tiba inaondoka,kwahiyo mi sioni dhihaka yoyote
Kutumia ulemavu wa mtu kunogesha tangazo lako ni uvunjifu wa haki za walemavu. ..linapaswa kukemewa na kuondolewa mara mojaKuna tangazo la Tigo liko hewani kwa takribani week tatu sasa likitambulisha kasi ya huduma yao ya 4g.