Wana Jf,nimeona tangazo zuri sana la Policy forum ITV juu ya watanzania kujiuliza kodi wanazochangia wananchi kwa serikali zinakwenda wapi?na huku huduma za jamii mbovu kupindukia
Hahahaa Mpwa umechukua maneno yangu, nilitaka kuanzisha thread ya hio kitu butnikaamua ku-search isijekuta imeashanzishwa.
Kwa kifupi lile tangazo ni kali sana na linagusa maslahi ya mtu wa chini kabisa kabisa. Japo sijaliona tena naomba Policy forum waliweke na TBC
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.