Tangazo la POLICY forum lisifungiwe!

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,507
11,883
Wana Jf,nimeona tangazo zuri sana la Policy forum ITV juu ya watanzania kujiuliza kodi wanazochangia wananchi kwa serikali zinakwenda wapi?na huku huduma za jamii mbovu kupindukia
 
Hahahaa Mpwa umechukua maneno yangu, nilitaka kuanzisha thread ya hio kitu butnikaamua ku-search isijekuta imeashanzishwa.
Kwa kifupi lile tangazo ni kali sana na linagusa maslahi ya mtu wa chini kabisa kabisa. Japo sijaliona tena naomba Policy forum waliweke na TBC
 
yaani hawaoni kodi zinafanyiwa nini? haya ngos zinafanya kazi kuwaridhisha wafadhili wao!LIFUNGIWE TU halina maana linaleta uchochezi tu
 
Back
Top Bottom