eti Baba v na Filipo nikweli anayosema Arushaone?
Utahangaika sana bibie kama hujakagiliwa!! Njoo nikukague, mambo yote humu utayafahamu!
unanikaguaje kwanza na wapi?
unanikaguaje kwanza na wapi?
Asikuzingue huyo,mi nshakukagua tayari
mzima ?
​hahahaaaaaa!!!Niko poa kaka
mie sijambo
sijui wewe Mwanathro..........!!!
Jibu swali, maana kuna Chilli, tedo, Chibolo, Chimbuvu, rutta, Shark , kiplagati126, Remote, Ben Saanane, e.t.c, e.t.c, kwa sasa sikufungishi ndoa tena, naongea na secretary wangu mteule ladyfurahia akutengenezee cheti chako maalum cha ndoa binafsi kitakachokuwa na nafasi zilizo wazi ambamo utakuwa unajaza jina la kila mume mpya unayempata bila hata kunishirikisha, utakuwa unanipa taarifa tu.. umenichosha we mwana, mwaka mmoja nimekufungisha ndoa saba, wewe tu....
Copy: watu8, gfsonwin, Kipipi, Ruttashobolwa, Judgement...
hahahah hiv mpk leo huwez kulitamka jina! Mi mzima nimemiss madoidoi
Na bado ukiacha sisi 20, anatafuta na wengine https://www.jamiiforums.com/love-connect/391805-je-unafaa-kuwa-mume-ingia-hapa-kisha-jipimie.htmJibu swali, maana kuna Chilli, tedo, Chibolo, Chimbuvu, rutta, Shark , kiplagati126, Remote, Ben Saanane, e.t.c, e.t.c, kwa sasa sikufungishi ndoa tena, naongea na secretary wangu mteule ladyfurahia akutengenezee cheti chako maalum cha ndoa binafsi kitakachokuwa na nafasi zilizo wazi ambamo utakuwa unajaza jina la kila mume mpya unayempata bila hata kunishirikisha, utakuwa unanipa taarifa tu.. umenichosha we mwana, mwaka mmoja nimekufungisha ndoa saba, wewe tu....
Copy: watu8, gfsonwin, Kipipi, Ruttashobolwa, Judgement...
Nakukagua kuanzia Kichwa, kifua, kiwili wili, miguu, hadi unyayo! Ila hiyo Blue inamsisitizo!
Kwa mamlaka gani iliyonayo Mkuu! Labda umkague mwanadada rijali Madame B!
nimesema sitaki kukaguliwa na nyinyi mbona hamnielewi? Msipo ni kagua nitakuwaje?
nimesema sitaki kukaguliwa na nyinyi mbona hamnielewi? Msipo ni kagua nitakuwaje?
naona hutaki kuendelea kuwa na kucha zako na meno yako.
Jina lako litamsaidia nini akilijua?
Una siku chache humu jamvini wewe kama utaendelea kumsogelea my akanana Passion Lady.
Ila wewe biashara yako nimeipenda kwa vile ni endelevu, sio kama Kinana..
Unapotez haki zako zote za kuwa mwanamke! unakuwa void! Acha ubishi bibie!!!? Nakukagua kidogo tu!