Tangazo la ndoa

Heeeeeeeeeeeee.................

Jibu swali, maana kuna Chilli, tedo, Chibolo, Chimbuvu, rutta, Shark , kiplagati126, Remote, Ben Saanane, e.t.c, e.t.c, kwa sasa sikufungishi ndoa tena, naongea na secretary wangu mteule ladyfurahia akutengenezee cheti chako maalum cha ndoa binafsi kitakachokuwa na nafasi zilizo wazi ambamo utakuwa unajaza jina la kila mume mpya unayempata bila hata kunishirikisha, utakuwa unanipa taarifa tu.. umenichosha we mwana, mwaka mmoja nimekufungisha ndoa saba, wewe tu....
Copy: watu8, gfsonwin, Kipipi, Ruttashobolwa, Judgement...
 
Last edited by a moderator:
Ukiona hivyo anapendwa sanaaaa
 

......
Baba V, Tafadhaliiii.
 
Last edited by a moderator:
Nyama ya bata ni tamu nyama ya bata ni tamu....kwa ugali ni tamuu kwa wali ni tamuu
 


Unaakili nyingi sana! Kapu la hela ni sahihi kukaa kwangu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…