Hapana mume wangu, kuna mtu ndo alimtusi sa mi nkawa nashangaa tu!
Usicheze na Kitumbua ukishaujua utamuwe !
Kijana kakomaaje!
Yan na hili ni tangazo tu la ndoa,ndoa yenyewe haijahalalishwa..ikihalalishwa hawatatoka nje.
Hahahahahahaaa jmn jmn, nsamehe bure mc wetu, ila yule mgeni wetu ndo aliekutusi!
Mmmh!
Hii ni ndoa ya mitara au ni mke mmoja?
Mi bana nasaka mabinti watatu hapa jf niwaoe kwa pamoja!!
Vipingamizi viletwe baada ya miaka 15 ya ndoa! Full stop!
mke wangu umemtusi mc?
Napinga hii ndoa
Haiwezekani kidumu changu kioe
Napinga hii ndoa
Haiwezekani kidumu changu kioe
Hivi Jawilat, unaomba nn toka kwa mume wangu jmn? Hebu ombi lako geuzia kwangu tafadhali, akaa hata hatujaanza kufurahia tayari maombi yanaanza?
kwa vile ameshindwa kutimiza ahadi zake kwangu antafutie wa kutimiza tafadhali..mnaweza kushirikiana pia...
Hahahaa chocs, uwiiiii ndoa tamu jmn!
Kila la kheri bidada...utupe na mrejesho!