ameshalitupa kuleeeeeeeeeeeeeee long tym Preta, ana kazi ya kubeep tu, toka asubuhi! yaani, yaani, uwiiiiii tuwaombee sana watoto wetu kwa MUUMBA JUU wasijepata mapunga, au dizaini hizi za wanaume! waandamanaji nao tupa kuleeeeeeeeeee! unaandamana we hata vitz ulileta lini??
Preta hivi ni wewe au macho yangu yanaona makengeza
Hebu nikatafute miwani yangu maana hii niliyo nayo naona inaona nyota nyota sielewi
Yaani unakuja kuniumbua hivi hivi aise
Kumbe siku ile unalipa bill ulikuwa unanichora eehhh
We utanipelekaje sehem ngumu kiasi hicho aise
Mi nishazoea nina elfu ishirini yangu nyama choma pale cet garden au pale makaburini na chupa mbili tatu za bia inatosha sasa wewe unanipeleka sehem chupa ya wine tuu Laki
Preta angalia mfuko bana siku nyingine uulize kabisa aise mfukoni zipo
he he....we ulivyoona tunaelekea huko kwanini hukubadili muelekeo......
basi muwe mnasema cash flow ikoje....sio kujifanya mnakufa na tai shingoni.....huwa mkiwa wakweli tuna huruma sana....tunaweza kuwapa hela zetu muweke mfukoni ili uonekane kidume wakati wa kulipa....
Mi nasign mgomo lol
hakuna kusign mgomo....
he he....we ulivyoona tunaelekea huko kwanini hukubadili muelekeo......
basi muwe mnasema cash flow ikoje....sio kujifanya mnakufa na tai shingoni.....huwa mkiwa wakweli tuna huruma sana....tunaweza kuwapa hela zetu muweke mfukoni ili uonekane kidume wakati wa kulipa....
Wewe kaka wewe unaacha kazi yako ya kuwa kichwa unamwachia mwanamke? Kwa nin asijitape.!
Mfuko wangu ulikuwa unatosha viwanja vyetuSamahan kumbe ndo maana. Angalia asiweanataka mfuko wako..
Sasa wewe si ndio ulikuwa dereva
ulitaka niushike usukani nikuongoze wakati wewe ndo unadrive
Mambo mengine kutakana ubaya tuu hapa
Mpaka ukaniumbua mbele za watu bana na kaelfu ishirini kangu
Mkuu hapa kademand outing nikajua viwanja vyetu vya cet garden na makaburini nyama choma na bia mbili tatu na hela ya guest
Kumbe mkuu ananipeleka Kibo palace chupa ya wine laki
Chakula unaacha wekundu kadhaa
chumba pale ulipie kwa bei ya Mmarekani
Mkuu huo ukuu wa nyumba utakuwa na hamu nao
Mfuko wangu ulikuwa unatosha viwanja vyetu
Sasa kataka makuu eti pale kwa kuwa unakaribishwa na roses mlangoni na sijui mara kuna supu na main course na sijui sijui kitu gani aaahhhh hakuna mambo hayo mtaani bana
he he....we ulivyoona tunaelekea huko kwanini hukubadili muelekeo......
basi muwe mnasema cash flow ikoje....sio kujifanya mnakufa na tai shingoni.....huwa mkiwa wakweli tuna huruma sana....tunaweza kuwapa hela zetu muweke mfukoni ili uonekane kidume wakati wa kulipa....
Wewe kaka wewe unaacha kazi yako ya kuwa kichwa unamwachia mwanamke? Kwa nin asijitape.!
Samahan kumbe ndo maana. Angalia asiweanataka mfuko wako..
basi kwa leo nakusamehe....ila siku nyingine usilete mabobishi....
maana ulivyoniletea swagga nikajua.....kitu cha Obama....
nilikufanyia makusudi nikuone....he he he.....
Sirudii tena
Kwa sasa outing zitakuwa zinasemwa kabisa
Leo ni cha Kibo palace au leo ni cha cet garden au leo ni cha makao mapya
Ujue na aina ya mfuko wa siku hiyo aise
hapo sawa......tupo pamoja....
ila hiyo ya Makao Mapya badilisha bana....tuwe tunaenda mitaa ya Pangani......