tangazo la mgomo...

ewaaaaa.....mianaume ya hivi huwa naishangaa sana.....sioni tatizo mimi kuclear bill na nini.....lakini basi mtu aonyeshe uanaume wake.....hivi huwa watu hawaoni aibu....
eti nyie wanaume.....kulipiwa kila siku bill na msichana wako huoni noma.....nawauliza......!!!!!!!

wako wapi hao mabint wanaolipia wanaume.... mbona mie nakamuliwa tu... eeeehhh!!!!
 
hapo mmenikosha preta na mr. Nawapa big up nyie wakaree
 
TANZANIAN ASSOCIATION OF BOYFRIENDS
(NABS)

NOTIFICATION OF WARNING STRIKE!!

Dear Tanzanian girls, hope you saw what
Kim K. bought
for Kanye W. on his birthday?
Not a Singlet or Boxers.
She bought A LAMBOGHINI CAR worth $
750k. We are tired of taking boxers and
singlet as gifts.
Sometimes, we even receive socks.
We will hence commence a 3-day
warning strike
taking effect from tomorrow. ENOUGH IS ENOUGH!!
Sign.

Hahahah, that's so funny, nimecheka balaa.
 
mwenye shida nani?au embu kwanza mgomo wenu uwe unahusisha zaidi ile huduma muhimu ili angalao likizo iwepo,ha ha ha,kwa kweli dada kaji2ma ngoja niwaze ba p ntampa nini kwani hug haitoshi,
 
Mtoto una hatari wewe!
Hivi kwa mujibu wa law act of 1978 cap No 309/65FR/01 unaweza kushtakiwa
kwa kosa la uchochezi. Unachochea pu*yeto sio? Na sabuni zikipotea
madukani nyie mtafulia nini?

Wala hazitapotea viwanda vitaongeza uzalishaji tu maana soko limeongezeka.
 
orait orait......sasa unakuta mwanaume ni first date halafu anaenda kuangalia matairi ya gari kama yana pancha......kudadadeki....unatupa kuleeeeeee.......hi hi....wapi Smile leo......

Duu hizo ndo zangu mimi, hakyanani naona nimekukosa hivi hivi!.
 
wewe nitalipa.....tena nakwambia kabisa kuwa kila kitu juu yangu leo.....
He he he...kama huwa unasikia ngekewa, basi ndo hizi. Aisee nambie wapi huko nizuke saa hii, natamani yule jamaa asiione hii kitu...hi hi hi!.
 
He he he...kama huwa unasikia ngekewa, basi ndo hizi. Aisee nambie wapi huko nizuke saa hii, natamani yule jamaa asiione hii kitu...hi hi hi!.

We safiria nyota ya mwenzio ukishikwa umeumia
 
Back
Top Bottom