hongera sanaNdugu Jamaa na Marafiki
Sijaingia kijiwe hichi siku nyingi kidogo muda mwingine tuko kwenye vijiwe vingine hongereni kwa mafanikio yaliyofikiwa na kijiwe hichi kwa miezi michache iliyopita mpaka sasa hivi - lakini kuna wale wakongwe siwaoni siku hizi kama Naima , AmazingFriend Na Haika Wale wa DHW naona nao wapo humu siku hizi lakini haijalishi .
Napenda kuwajulisha kwamba natarajia kufunga ndoa mwezi wa 9 Mwaka huu Maandalizi ndio yameshaanza na Tunaendelea Kawaida tu .
Nawakaribisha Kwa Maombi , Michango na Wale wanaopenda kuwa kwenye Kamati Ya Maandalizi Ningependa sana kuwa na watu wa jukwaa hili japo 20 Hivi itapendeza kujenga Undungu na mengine mengi .
Kuhusu hii kamati Nitawasiliana na Invisible Tuone Itakuwaje Au tunaweza kuanza na hapa hapa
Ahsante na Karibuni Tena
Namba ya Acount ni 0140525613601 STANBIC BANK YONA MARO AU ZAP 0786 806028 - TAFADHALI UNITUMIE MAJINA YAKO NA ANUANI YAKO KWA AJILI YA MUALIKO
Shukrani mkuu tutakuchangia kwa hali na mali harusi itafanyikia Moshi? Sijasoma uzuri hapo juu.
Harusi itafanyika, Kiboroloni, baada ya harusi, watu watakula kitimoto pale onyonya ukunonze na mibia ya Safari TU!!!
The Following User Says Thank You to Shy For This Useful Post:Ndugu yangu itafanyikia Dar es salaam mwisho wa mwezi wa 8 mwaka huu , Mama yupo na ni mchangiaji mzuri Sintopenda Kutaja jina lake kwa sasa Tuendelee na mipango mengine kwanza hii ya sasa
Harusi siyo ati kama bethdei pati..Kiafrika harusi ni shughuli ya familia,ndugu jamaa na marafiki kama msiba.Usijaribu kuonyesha hiyo jeuri hata kama una pesa... utajikuta unasusiwa mazishi ndugu.Utalia sana likikufika... si una pesa?Hivi ni lazima kuchangiwa ili uweze kuoa? Huwezi kuoa bila kuwa na kamati ya maadalizi?
Sawa, lakini kwa nini nguvu ya aina hii hii pia isielekezwe kwenye maeneo mengine muhimu kama elimu? mitaji ya biashara? uanzishaji wa vituo vya kulelea/ku-sponsor yatima? maendeleo mengine? etc, etc? I say NO to mitizamo mgando inayosingizia eti "mila". Mila, mila, mila...... gimme a break. I say again...screw all "mila's" ambazo effect yake ni kutufanya tujione tunaishi peponi kumbe......Harusi siyo ati kama bethdei pati..Kiafrika harusi ni shughuli ya familia,ndugu jamaa na marafiki kama msiba.Usijaribu kuonyesha hiyo jeuri hata kama una pesa... utajikuta unasusiwa mazishi ndugu.Utalia sana likikufika... si una pesa?
Asante sana Shy tuko pamoja kimaombi zaidi ...Kumbe ulikuwa single miaka yote hiyo...