Tangazo la Kazi - Computer Engineer

Tangazo la Kazi - Computer Engineer

Mama Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2007
Posts
2,975
Reaction score
2,170
Nimekutana na tangazo hili la kazi ya Computer Engineer, lakini namba ya simu ili kuipata hiyo kazi ni sharti upige kwanza simu, na namba ya hiyo simu imeandikwa kimafumbo. Nami niko huku shamba Katavi na sina calculator wala slide rule. Jamani, mtaalamu wa algebra anisaidie kuifumbua ili nimpe mdogo wangu aombe kazi, na natanguliza shukrani. Preta, Woman of Substance, Abu Tichaz, Bujibuji, Nyani Ngabu, Mbuzi Mzee, Allien, Mzizi Mkavu, Bluray nk msaada kwenye tuta).

View attachment 77038
 
Nimejaribu sana kuwapigia hiyo number inaita tu hawapokei.
 
hawana shida izo namba za simu ndo ivyo interview cwatataka wakulambe ****** ili mradi ushindwe....
 
nimepiga amepokea mtu mwenye sauti nzito nene na yenye kukwaruza akasema hapo ni mochwari...!
 
Back
Top Bottom