Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,156
- 31,049
Sasa kama mtu anakuwa professor na wazir wa elimu anaunga kinge kwa super glue, unashangaa nini?Mwalimu yupo darasani anasema, which is talking? Wanafunzi wanaishia kushangaa.
Tangazo hili la haki elimu ni kama linadhalilisha kada ya ualimu. Je ni kweli walimu wengi hawajui Kiingereza? Sasa inakuaje mtu anafika hadi chuo kikuu hajui kimombo? Je kada nyingine nazo vipi kuhusu kujua kiingereza kwa watu wake?
My take:
Tangazo lile lipigwe stop asap!