Serikali haoni haja ya kutimua walimu wote waliounga unga elimu zao?

mozeh

JF-Expert Member
Mar 13, 2022
494
952
Wasalam.

E bana tangu nmeingia katika kada hii ya elimu kama mwalimu wa kujitolea katika shule moja ya msingi apa mjini dsm nimejikuta nikigundua kumbe tuna walimu vilaza wengi sana katika hii kada.

Imagine mwalimu wa serikali haamini kama mwanafunzi anaweza kupata 50/50 katika somo la hisabati mpaka anaamua kutengenezq hoja ya kwamba mwalimu nimewapa majibu wanafunzi

Sasa unajiuliza huyu mwalimu ambae ana experience ya miaka takriban 20 na zaid haamin darasa linaweza kupata hamsini ya hamsini wanafunzi 15 je ni kwamba yeye kipind anasoma hakuwah kufuta zote au maana nimeshtuka sn mwalimu anakaza mshipa wa shingo kwamba HAIWEZEKANI watoto kupata hesabu 50..

Serikali ina haja ya kuwatimua hawa walimu wazee waliofeli form four na kuajiri walimu wenye ueled na WALIMU LAZIMA WAFANYIWE USAHILI TUONDOE UOZO
 
Waziri wa CCM simbachawena CCM iliibaki madarakani lazima itoe ajira Kwa watu waliofeli Kwa hiyo mtoa mada CCM hawawezi kuwatoa hawa ,yaani polisi CCM na walimu ccm
Noma sana mkuu yani hii nchi haitaki watu smart, ukiwa smart mfumo haukutaki na ukipata nafasi lazima upigwe vita na mfumo
 
Wasalam..
E bana tangu nmeingia katika kada hii ya elimu kama mwalimu wa kujitolea katika shule moja ya msingi apa mjini dsm nimejikuta nikigundua kumbe tuna walimu vilaza wengi sana katika hii kada..

Imagine mwalimu wa serikali haamini kama mwanafunzi anaweza kupata 50/50 katika somo la hisabati mpaka anaamua kutengenezq hoja ya kwamba mwalimu nimewapa majibu wanafunzi

Sasa unajiuliza huyu mwalimu ambae ana experience ya miaka takriban 20 na zaid haamin darasa linaweza kupata hamsini ya hamsini wanafunzi 15 je ni kwamba yeye kipind anasoma hakuwah kufuta zote au maana nimeshtuka sn mwalimu anakaza mshipa wa shingo kwamba HAIWEZEKANI watoto kupata hesabu 50..

Serikali ina haja ya kuwatimua hawa walimu wazee waliofeli form four na kuajiri walimu wenye ueled na WALIMU LAZIMA WAFANYIWE USAHILI TUONDOE UOZO
Unaweza kuwa na wewe ni tatizo....
Umefanya utafiti wa waalimu wangapi kwa shule ngapi..
 
Wasalam..
E bana tangu nmeingia katika kada hii ya elimu kama mwalimu wa kujitolea katika shule moja ya msingi apa mjini dsm nimejikuta nikigundua kumbe tuna walimu vilaza wengi sana katika hii kada..

Imagine mwalimu wa serikali haamini kama mwanafunzi anaweza kupata 50/50 katika somo la hisabati mpaka anaamua kutengenezq hoja ya kwamba mwalimu nimewapa majibu wanafunzi

Sasa unajiuliza huyu mwalimu ambae ana experience ya miaka takriban 20 na zaid haamin darasa linaweza kupata hamsini ya hamsini wanafunzi 15 je ni kwamba yeye kipind anasoma hakuwah kufuta zote au maana nimeshtuka sn mwalimu anakaza mshipa wa shingo kwamba HAIWEZEKANI watoto kupata hesabu 50..

Serikali ina haja ya kuwatimua hawa walimu wazee waliofeli form four na kuajiri walimu wenye ueled na WALIMU LAZIMA WAFANYIWE USAHILI TUONDOE UOZO
Bila shaka hata wewe ni kilaza au una akili za kimaskini.

Labda utueleze kwa nini ulisomea ualimu??
 
Wasalam..
E bana tangu nmeingia katika kada hii ya elimu kama mwalimu wa kujitolea katika shule moja ya msingi apa mjini dsm nimejikuta nikigundua kumbe tuna walimu vilaza wengi sana katika hii kada..

Imagine mwalimu wa serikali haamini kama mwanafunzi anaweza kupata 50/50 katika somo la hisabati mpaka anaamua kutengenezq hoja ya kwamba mwalimu nimewapa majibu wanafunzi

Sasa unajiuliza huyu mwalimu ambae ana experience ya miaka takriban 20 na zaid haamin darasa linaweza kupata hamsini ya hamsini wanafunzi 15 je ni kwamba yeye kipind anasoma hakuwah kufuta zote au maana nimeshtuka sn mwalimu anakaza mshipa wa shingo kwamba HAIWEZEKANI watoto kupata hesabu 50..

Serikali ina haja ya kuwatimua hawa walimu wazee waliofeli form four na kuajiri walimu wenye ueled na WALIMU LAZIMA WAFANYIWE USAHILI TUONDOE UOZO
Mimi naona wewe ndio kilaza. Inawezekana kabisa umewapa mtihani substandard.
 
Upumbavu mwingi umekuja

Kuna sababu zinafanya walimu washangae matokeo yako

Kama umesomea ualimu sifa za mitihani bora inatakiwa iwe na validity na variability

Wanaweza kushangaa kwa sababu kuwa kuna variability kubwa baina ya matokeo yaliyopita na ya sasa

Kuna madarasa wanafunzi vilaza hivyo lazima watu washangae

Pia hao walimu wanaweza kukushangaa wewe kwa kuwa umetunga mtihani wa kichoko usio na sifa na vigezo.

NB:

HAKUNA GRADUATES MWENYE AKILI TIMAMU ANAYEJITOLEA HASA SHULE TENA YA SERIKALI TENA YA MSINGI

Bila shaka unaambulia mshahara wa vumbi la chaki tu.

Kutokuwa na akili kwako ndio kumekufanya uone kujitolea ndio solution
 
Siyo Kila mwalimu ni kilaza,kwanza wewe siyo mwalimu tayari kama wanaufunzi 15 wanapata 100% Kuna tatizo kwenye validity ya hiyo test
Upumbavu mwingi umekuja

Kuna sababu zinafanya walimu washangae matokeo yako

Kama umesomea ualimu sifa za mitihani bora inatakiwa iwe na validity na variability

Wanaweza kushangaa kwa sababu kuwa kuna variability kubwa baina ya matokeo yaliyopita na ya sasa

Kuna madarasa wanafunzi vilaza hivyo lazima watu washangae

Pia hao walimu wanaweza kukushangaa wewe kwa kuwa umetunga mtihani wa kichoko usio na sifa na vigezo.

NB:

HAKUNA GRADUATES MWENYE AKILI TIMAMU ANAYEJITOLEA HASA SHULE TENA YA SERIKALI TENA YA MSINGI

Bila shaka unaambulia mshahara wa vumbi la chaki tu.

Kutokuwa na akili kwako ndio kumekufanya uone kujitolea ndio solution
🤣🤣
 
Back
Top Bottom