Tangazo La Biashara Kwenye Duka La Mchaga! Du! Hii Kali!

Allien

JF-Expert Member
Jul 6, 2008
5,546
1,861
Aisee kuna Mangi mmoja kule Kiboroloni aliweka Tangazo hili katika Duka lake:

Pata Sukari; Mayai; Baiskeli; Kanga; Pilau; Wali; Kuku; Sambusa; Tairi za Trekta; Madaftari; Bia Aina Zote; Mbege; Petroli; Matunda; Nazi; Vitumbua; Mitumba Grade One; Supu ya Utumbo; Mabati; Vocha za Simu; Mtego wa Panya; Pembejeo; Makabati ya Nguo; Computer; Juice; Mbogamboga; Mahindi ya Kuchoma; Bajaji; Cementi; Leso; Vyumba vya Wageni na Vyuma Chakavu. KARIBUNI.

Imekaaje hii wadau?
 
Mambo ya fedha hayo . . . Kazi kweli kweli aitheeee!!!
 
Hiyo mix...mhhhhh!
But on a positive note..mwenzetu huyu pamoja na kutokufuata kanuni za biashara anajaribu kupata kila mteja..hachagui cha market niche wala nini!
Good for him/her
 
Pata Sukari; Mayai; Baiskeli; Kanga; Pilau; Wali; Kuku; Sambusa; Tairi za Trekta; Madaftari; Bia Aina Zote; Mbege; Petroli; Matunda; Nazi; Vitumbua; Mitumba Grade One; Supu ya Utumbo; Mabati; Vocha za Simu; Mtego wa Panya; Pembejeo; Makabati ya Nguo; Computer; Juice; Mbogamboga; Mahindi ya Kuchoma; Bajaji; Cementi; Leso; Vyumba vya Wageni na Vyuma Chakavu. KARIBUNI.
Wakumbuka yote haya kichwani? Au ulipiga picha? Au ni tamthiliya? Kuna wengine hatuamini amini ovyo simulizi.

Allien, tafadhali.
 
Mkuu;

Tuko katika Jukwaa la Jokes/Utani. Take it easy!
 
Hiyo mix...mhhhhh!
But on a positive note..mwenzetu huyu pamoja na kutokufuata kanuni za biashara anajaribu kupata kila mteja..hachagui cha market niche wala nini!
Good for him/her

Haaa haaaa; lani Supermake si ndiyi zao hizo. Mmeku amekuwa kama mwekezaji mdogo.
 
hahaaa!!dah.nalifananisha hilo tangazo na yale mabao ya waganga wetu wa kienyeji.naona pia wengi ni wachaga bwana allien.kekekekekekekekeke!!
 
Mkuu; umenichekesha sana. Mengine yanakuwa na Picha kama ya Allien LOL
 
Duh!!
Mambo ya fweza hayo. Mchaga hachagui biashara anauza mpaka vyuma chakavu. Sijui atakuwa amevipanga kwenye frem au amevimwaga chini!!!!!!!!!!!! Hii ni kali kweli kweli. Atauza mpaka mawe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom