eti hii ni kweli??

eti hii ni kweli??

babumapunda

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
4,644
Reaction score
3,328
WACHAGA NA BIASHARA!? Ona
tangazo la biashara kwenye duka la
MR.TEMU jr: pata sukari, mayai,
baiskeli, kanga, pilau, walikuku,
sambusa, tairi za trekta, madaftari,
bia aina zote, petroli, dizeli,
matunda, socket za umeme, nazi,
vitumbua, mbolea, mitumba grade
1, supu ya utumbo na kongoro,
mabati, vocha, mtego wa panya,
pembejeo, rim papers makabati ya
nguo, oil chafu, computer, simu,
pochi, juice na mbogamboga, mbao,
jiki, mahindi ya kuchoma, bajaj,
cement na nk
 
Hahahahha hiyo kali kila sehemu moja hahha

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
WACHAGA NA BIASHARA!? Ona
tangazo la biashara kwenye duka la
MR.TEMU jr: pata sukari, mayai,
baiskeli, kanga, pilau, walikuku,
sambusa, tairi za trekta, madaftari,
bia aina zote, petroli, dizeli,
matunda, socket za umeme, nazi,
vitumbua, mbolea, mitumba grade
1, supu ya utumbo na kongoro,
mabati, vocha, mtego wa panya,
pembejeo, rim papers makabati ya
nguo, oil chafu, computer, simu,
pochi, juice na mbogamboga, mbao,
jiki, mahindi ya kuchoma, bajaj,
cement na nk

Hiyo kidhungu inaitwa over diversfication
 
WACHAGA NA BIASHARA!? Ona
tangazo la biashara kwenye duka la
MR.TEMU jr: pata sukari, mayai,
baiskeli, kanga, pilau, walikuku,
sambusa, tairi za trekta, madaftari,
bia aina zote, petroli, dizeli,
matunda, socket za umeme, nazi,
vitumbua, mbolea, mitumba grade
1, supu ya utumbo na kongoro,
mabati, vocha, mtego wa panya,
pembejeo, rim papers makabati ya
nguo, oil chafu, computer, simu,
pochi, juice na mbogamboga, mbao,
jiki, mahindi ya kuchoma, bajaj,
cement na nk
Duka la Mtanga na mhaya je?
 
Duka la Mtanga na mhaya je?

kwani nao pia hufanya kazi ya dukani?

ngoja ntawauliz ila nawaswas wanaeza kuwa wanafanya biashara ya mapenzi kwani nasikia wanayajua sana.
 
We hujakosea biashara ya mapenz kwa wahaya ndo usiseme niulize mie ninaewajua nje ndan,

Sent from my BlackBerry 9700using Jamie's
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom