WAKINGA KWA BIASHARA

Mish Albert

JF-Expert Member
Dec 25, 2015
657
581
WAKINGA KWA BIASHARA
Ona tangazo la biashara kwenye Duka la sanga

Pata sukari,mayai,baiskeli,kanga,pilau,wali kuku,sambusa,tairi za trekta,madaftari,bia aina zote,petroli,dizel,matunda,socket za umeme,nazi,vitumbua

mbolea,mitumba grade 1,supu ya utumbo na kongoro,mabati,vocha za tigo,voda na airtel,mitego ya panya,pembejeo,rim,paper orginal,huduma ya choo cha kulipia,makabati ya nguo,oil
chafu,chapati,computer,simu,pochi,mbogamboga,mbao,jiki,
mahindi ya kuchoma,bajaji,bangi,cement,sufuria,leso
vyumba vya wageni vyenye air condition,net za mbu,viti,karanga,maziwa,dawa ya kuongeza nguvu za kiume na za kike,sumu ya panya,bangili,bahasha,kashata na n.k
 
Wakinga kweli biashara wapo njema sema kwao makete, Bulongwaa ,hawajengi kabila LA kikuda sana na wengi ni wachawi na wabinafsi na ukimwi umezidi huko wakati hamna starehe yeyote ni vumbi tu kubayaaaa sana isitoshe wanavyoipenda CCM sijui wana raha gani nashindwaa niwaweke kwenye kundi gani
 
Back
Top Bottom