Iron Lady
JF-Expert Member
- Mar 4, 2008
- 4,071
- 1,382
nilipata hii msg nikachoka,
kwenye duka la mkinga,
pata sukari, mayai, baiskeli, vitenge, pilau, wali kuku, sambusa, matairi ya trekta,madaftari, bia aina zote, petroli matunda aina zote, nazi, vitumbua, mitunda grade 1, supu ya utumbo, mabati, vocha aina zote, mtego wa panya, pembejeo, makabati ya nguo, computer, juice natural, mbogamboga, mahindi ya kuchoma, bajaji, cement, leso vyumba vya wageni, na vyuma chakavu. karibuni sana.
mh kwa jinsi hii mkinga ni noma