FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,942
- 47,029
Huu nao ni uchocheziNimeshuhudia tangazo la ATCL clouds t.v asubuhi hii. Niseme tu kwamba, tangazo lile ni la kiwango cha chini sana katika kila hali, kuanzia namna lilivyobuniwa hadi ghraphics zilizotumika. Yaan utafikiri ni Hussein Pamba kali anatangaza yale maduka yake ya pale Kinondoni manyanya au kule Sinza, kumbe ni Air Tanzania??!!! Hivi hawana bajeti ya matangazo, hii ni kujiaibisha, be serious!
Ili ueleweke, weka hilo tangazo hapa, otherwise comments zitakazokuja utajutaNimeshuhudia tangazo la ATCL clouds t.v asubuhi hii. Niseme tu kwamba, tangazo lile ni la kiwango cha chini sana katika kila hali, kuanzia namna lilivyobuniwa hadi ghraphics zilizotumika. Yaan utafikiri ni Hussein Pamba kali anatangaza yale maduka yake ya pale Kinondoni manyanya au kule Sinza, kumbe ni Air Tanzania??!!! Hivi hawana bajeti ya matangazo, hii ni kujiaibisha, be serious!
ndefe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sisi tunaopanda ndefe tumeridhika, we ambaye hata basi kupanda ni ishu unaponda
Nimeshuhudia tangazo la ATCL clouds t.v asubuhi hii. Niseme tu kwamba, tangazo lile ni la kiwango cha chini sana katika kila hali, kuanzia namna lilivyobuniwa hadi ghraphics zilizotumika. Yaan utafikiri ni Hussein Pamba kali anatangaza yale maduka yake ya pale Kinondoni manyanya au kule Sinza, kumbe ni Air Tanzania??!!! Hivi hawana bajeti ya matangazo, hii ni kujiaibisha, be serious!
Hahaha,mkuu Ushetu ndio wapi huko? Nakumbuka kuna post moja ulielezea route ya mabasi toka Ubungo hadi kanda ya ziwa jinsi watu wanavyokula kula njiani. Shelui na maeneo mbalimbali uliyaincludi. Ile ndiyo best post nikizirenki post zako. Humour uliyoiweka mule ni kwikwi.Unawalaumu tu bure ATCL Mkuu kwani ' Fungu ' lote Mnunuzi na Mkemia ' mwandamizi ' amelielekeza kununua ' Bombardier ' nyingine ya itakayokuwa inasafiri moja kwa moja kutoka ' Ushetu ' hadi ' Gwanzuu ' huku ikipeleka mchanga na kurudi huku na Watalii. Ikishatufaidisha kimaslahi basi hata Budget yao ya Advertising ' itanona ' vuta subira.
Kweli Kabisa aweke namna ambavyo hilo tangazo linapaswa kua na si kulalamika lalamika tu.Kukosoa tu bila kuweka ushauri ni mapungufu.Aya tueleze wewe mtaalamu wa Advertising,ulitaka liweje!
Toa ushauri siyo kubwabwaja kama saa8Nimeshuhudia tangazo la ATCL clouds t.v asubuhi hii. Niseme tu kwamba, tangazo lile ni la kiwango cha chini sana katika kila hali, kuanzia namna lilivyobuniwa hadi ghraphics zilizotumika. Yaan utafikiri ni Hussein Pamba kali anatangaza yale maduka yake ya pale Kinondoni manyanya au kule Sinza, kumbe ni Air Tanzania??!!! Hivi hawana bajeti ya matangazo, hii ni kujiaibisha, be serious!
A: DAR-MWANZA (One-way) - pamoja mzigo wa 20kgs
1. ATCL = 199,000/= (2 hours & 10 mins. = 130 mins.)
2. Fastjet = 101,000/= (50 minutes)
3. Precision Air = 110,000/= (2 hours & 10 mins.)
** kama mzalendo utachagua ipi hapo?
Mkuu fastjet. Hakuna ubishiA: DAR-MWANZA (One-way) - pamoja mzigo wa 20kgs
1. ATCL = 199,000/= (2 hours & 10 mins. = 130 mins.)
2. Fastjet = 101,000/= (50 minutes)
3. Precision Air = 110,000/= (2 hours & 10 mins.)
** kama mzalendo utachagua ipi hapo?