Tangazo kwa wapenzi na wanachama wa ACT-Tanzania

Katika mashirika ya kitapeli la kwanza ni act, siwezi tumia degree yangu kupigania matumbo ya wasaliti wachache kama ninyi. Shame on you rangimoto
 
Kila kheri ACT lakini sasa tatizo nyie mnaendesha chama kama group fulani la vijana fesibuku, inatakiwa mtoke mtaani kukitangaza chama, tumieni viongozi wenu mje kutafuta wanachama field, piteni vyuo vikuu huko ndio ipo base nzuri, hapo ndo mtaweza kukiendeleza chama vizuri.

Duuu
Wee mbona sikuelewi !

Unajua nakufahamu !
Always nna mashaka na wewe
 
Ma-chadema banaa ha ha ha sasa kama cha mamluki mnakiogopea nn?? Mpaka mtembea na sumu anatetemeka akiona bandiko la hiki chama kipya

Hakiogopwi. Kinazungumziwa kwa sababu hao waliokianzisha walikuwa wannchama wa chadema wanaodia kwamba wao wanfaa zaidi kuiongoza chadema kuliko viongozi waliopo ndio maana tunao mpaka tutakapowazika na marangi yao ya msiba/maombolezo rangi ya uniform za kwaya na mavazi ya kwenye misiba kwa wakristo!
 
tunahitaji chama chenye kupigania maslahi mapana ya wanatanzania,,,ACT ndio chama chenyewe

Kosa lenu kubwa ACT hamkutoka Chadema kwa sababu chadema ilishindwa kupigania maslahi mapana. Bali wengine mlifukuzwa na wengine mlitoka kwa ajili ya mtu. Watanzanaia wote wanajua kwamba mlifukuzwa chadema kwa kulazimisha mtu wenu awe kiongozi! Na mlifanya haya kwa kuanzisha mkakati wa siri ikiwa ni pamoja na kukwamisha mipango na operation mbali mbali za chama ili chama ili viongozi waliopo waonekane wameshindwa kazi. Hili tu linawafanya msiaminike hata kidogo!
 
Chama cha kina Zitto Kabwe na Mwigamba walifukuzwa chadema wakaonekana hawafai kwa uroho wa madaraka kuna Misukule wanamfuata!!
 
ACT ndo chama makin na mbadala wa vyama vya siasa hapa tz!Kimejaa wAzalendo na wanaojitambua.ACT mpango mzima!
 
Ndugu kila siku nakuomba hapa tuwekee Katiba hutaki, sasa mara hii Mnaibadilisha imekuwaje tena?
Mnabadilisha huku hatujawahi hata kuiona siis wapenda mageuzi?

by the way mnasajili wanchama kwa Itikadi ipi? Hao wanchama wanjitambua kweli?

Itkadi ni kila kitakachosemwa na zito na/au kitila
 
ACT ndo chama makin na mbadala wa vyama vya siasa hapa tz!Kimejaa wAzalendo na wanaojitambua.ACT mpango mzima!

mtahangaika sana na hilo genge lenu la wasaliti huku CDM tukipasua mawimbi kuelekea kuchukua dola 2015.
 
Hivi ni kijana gani mwenye akili timamu anayeweza kujiunga na hicho kikundi cha masalia na wachumia tumbo?

sijui baada ya kuwafukuza mlitaraji wafanye nini?waache siasa?na kama ni ishu ya masalia mbona waasisi wote wa CHADEMA ni mabaki ya CCM?au kosa ni kuwa mabaki wa CHADEMA?afu ni kama bado mnawahitaji vile?
 
Back
Top Bottom