Tangazo kwa wapenzi na wanachama wa ACT-Tanzania

Dotto C. Rangimoto

Verified Member
Nov 22, 2012
1,993
2,000
Habari.
Tunafurahi na kushukuru kuona kuna wimbi kubwa la watanzania wa ndani na nje ya nchi yetu wanataka kuwa wanachama wa chama chetu lakini upungufu wa kadi na kuwafikia walipo imekuwa ni changamoto kati yetu na yao. Si hivyo tu, hata kumjibu mmoja mmoja barua pepe yake au ujumbe mfupi wa simu ni changamoto nyingine na hii ukizingatia wingi wao; tunajitahidi kuwajibu mmoja mmoja kadiri ya uwezo wetu lakini taarifa hii tunaraji itakata kiu ya waulizaji wengi.

Chama kinandaa kadi mpya na bendera mpya ambazo zitazingatia mabadiliko ya katiba yetu. Imeamuliwa kuwa wenye kuhitaji kuwa wanachama wawasilishe taarifa zao kwa waratibu wa mikoa wanayoishi au katika namba hizi 0784845394 kama huna mawasiliano na mratibu wako. Taarifa zinazotakiwa ni.

 1. Jina; vema yawe matatu
 2. Mkoa Unaoishi
 3. Jimbo unaloishi
 4. Kata/Wadi unayoishi
 5. Mtaa/Kitongoji/Sheia unayoishi
 6. Namba ya Simu
 7. Email Address
 8. Kazi uifanyayo
 9. Kama umejiandikisha kupiga kura au la
 10. Kama upo nje ya nchi watakiwa utaje nchi uliyopo.

ACT-TANZANIA

TAIFA KWANZA

Asanteni.

Njano5.
0784845394
 
Earthmover

JF-Expert Member
Sep 28, 2012
16,558
2,000
....

........KISHINDO !!!!! 

ligera

JF-Expert Member
May 17, 2014
2,650
1,250
kama chama kinashindwa hata kuwatumia sms wanachama wake basi wanahali mbaya,ushauri wa bure muwe mnajiunga na huduma ya university cheka sms
 
Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Aug 9, 2007
18,391
2,000

Chama kinandaa kadi mpya na bendera mpya ambazo zitazingatia mabadiliko ya katiba yetu. Imeamuliwa kuwa wenye kuhitaji kuwa wanachama wawasilishe taarifa zao kwa waratibu wa mikoa wanayoishi au katika namba hizi 0784845394 kama huna mawasiliano na mratibu wako. Taarifa zinazotakiwa ni.

Ndugu kila siku nakuomba hapa tuwekee Katiba hutaki, sasa mara hii Mnaibadilisha imekuwaje tena?
Mnabadilisha huku hatujawahi hata kuiona siis wapenda mageuzi?

by the way mnasajili wanchama kwa Itikadi ipi? Hao wanchama wanjitambua kweli?
 
Ben Saanane

Verified Member
Jan 18, 2007
14,595
2,000
Ndugu kila siku nakuomba hapa tuwekee Katiba hutaki, sasa mara hii Mnaibadilisha imekuwaje tena?
Mnabadilisha huku hatujawahi hata kuiona siis wapenda mageuzi?

by the way mnasajili wanchama kwa Itikadi ipi? Hao wanchama wanjitambua kweli?

Itikadi?Hilo ni swali kubwa mno kwake.Niliwahi kuwauliza lakini wapi
 
bujash

JF-Expert Member
Aug 9, 2013
3,468
0
Hiki chama cha wasaliti kimekufa kabla hata ya kupata katiba,kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi.........?????
 
Communist

JF-Expert Member
Jun 1, 2012
5,392
2,000
Habari.
Tunafurahi na kushukuru kuona kuna wimbi kubwa la watanzania wa ndani na nje ya nchi yetu wanataka kuwa wanachama wa chama chetu lakini upungufu wa kadi na kuwafikia walipo imekuwa ni changamoto kati yetu na yao. Si hivyo tu, hata kumjibu mmoja mmoja barua pepe yake au ujumbe mfupi wa simu ni changamoto nyingine na hii ukizingatia wingi wao; tunajitahidi kuwajibu mmoja mmoja kadiri ya uwezo wetu lakini taarifa hii tunaraji itakata kiu ya waulizaji wengi.

Chama kinandaa kadi mpya na bendera mpya ambazo zitazingatia mabadiliko ya katiba yetu. Imeamuliwa kuwa wenye kuhitaji kuwa wanachama wawasilishe taarifa zao kwa waratibu wa mikoa wanayoishi au katika namba hizi 0784845394 kama huna mawasiliano na mratibu wako. Taarifa zinazotakiwa ni.

 1. Jina; vema yawe matatu
 2. Mkoa Unaoishi
 3. Jimbo unaloishi
 4. Kata/Wadi unayoishi
 5. Mtaa/Kitongoji/Sheia unayoishi
 6. Namba ya Simu
 7. Email Address
 8. Kazi uifanyayo
 9. Kama umejiandikisha kupiga kura au la
 10. Kama upo nje ya nchi watakiwa utaje nchi uliyopo.

ACT-TANZANIA

TAIFA KWANZA

Asanteni.

Njano5.
0784845394
Toka hapa na lichama lako la mamluki?
 
Ally Kanah

JF-Expert Member
Jun 7, 2011
1,480
1,500
Ma-chadema banaa ha ha ha sasa kama cha mamluki mnakiogopea nn?? Mpaka mtembea na sumu anatetemeka akiona bandiko la hiki chama kipya
 
Ally Kanah

JF-Expert Member
Jun 7, 2011
1,480
1,500
Unakiogopa wewe na nepi yako.

Wacha kuweweseka wewe...na kuendelea kutumiwa waacheni waendelee na chama chao si mliwafukuza mlitaka waende shambani wakalime waache siasa nn?? Kila mtu anauhuru wakuamua akitakacho katika nchii hii ila tu asivunje sheria...Ma-chadema mabaguzi machaga maji ya shingo
 
AdvocateFi

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
11,511
2,000
Kila kheri ACT lakini sasa tatizo nyie mnaendesha chama kama group fulani la vijana fesibuku, inatakiwa mtoke mtaani kukitangaza chama, tumieni viongozi wenu mje kutafuta wanachama field, piteni vyuo vikuu huko ndio ipo base nzuri, hapo ndo mtaweza kukiendeleza chama vizuri.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom