TANGAZO. Kuhamia digitali

Deleted_account

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2008
Posts
3,385
Reaction score
3,705
Nimeikuta hii wavuti.com

TANGAZO! kwa wasio na VING'AMUZI majumbani mwao!

Tunaonyesha vipindi vifuatavyo na gharama zake kama ifuatavyo:

1- Taarifa ya Habari Tshs 250/=
2- Tamthilia ya ITV&STAR-TV Tshs 400/=
3- SPORTS BAR Tsh 300/=
4- WATOTO SHOW Tshs 150/=
5- CARTOON Tsh 200/=

Tafadhali ukija uje na pesa kamili, hatuna chenji.

PS: Pia uje na mfuko wa kuwekea NDALA zako.
 
jirani yangu mmoja analazimisha kisiwashwe muda mrefu pesa itatumika sana
 
kuna siku hata tutashangaa hivi tunavyotoka kwenda kkuangalia mipira kwa jero, kwani tulijua tutaacha kwenda internet cafe? Nilikua sielewi wakinishangaa wageni wangu kwamba sina net nyumbani
 
wanaofatilia series watavunja kibubu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…