Mmmmmhhhh.... Napita tu!
Hii mikataba inahusiana na ile ya CCM na Wachina?
Niwekee kopi kisha unielekeze kabisa huko bunju A sehemu kinapopatikana.karibu
Niwekee kopi kisha unielekeze kabisa huko bunju A sehemu kinapopatikana.
Acha uoga ni hadithi tu.......hahahaahTitle ya kitabu nimeogopa
Asante saaaaaaaaaaaaanakaribu saaaaaaaaaaaaaana.
Dada angu nitakutafuta hiyo tarehe uliyosema kitakuwa tayari.
:majani7::majani7::majani7::majani7::majani7:Nakingoja kwa ham
Hahahaaaa usiogope, its all about mikataba mibovu wanayoingia viongozi wako na still wako radhi kuua mtu ili wao wanufaike na mikataba hiyo lol.... h:welcome:Mmhh ni shida ebu anitoe woga nameless girl
0712504985 au 0684081708ni pm namba kabisa tuongee chobingo
Ulisahaulika nini ukaamua kupita kimyakimya!