Tangazo juu ya ujio wa kitabu cha mikataba ya kishetani

Tangazo juu ya ujio wa kitabu cha mikataba ya kishetani

nameless girl

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
4,195
Reaction score
2,689
Kwa wale wasomaji wote wa riwaya za kipelelezi, napenda kutumia fursa hii kuwatangazia ujio wa kitabu kipya cha MIKATABA YA KISHETANI kilichoandikwa na hayati Ben R. Mtobwa. Kitabu hiki kitapatikana bunju A, kuanzia tarehe 07/01/2015 kwa shilingi 10,000 (elfu kumi) tu za kitanzania.
Kwa wale ambao itakua vigumu kufika mahala vitabu vilipo basi tunaweza kuwasiliana na ukapelekewa pale ulipo.

Kwa mawasiliano zaidi unaweza kupiga simu namba:
0712 504985
0684 081708
cc: The Boss, Yo Yo, Mama, Mpita Njia, Mzee Mwanakijiji, DDT, Shadow, Philemon Mikael, Tonga, Ng'wanza Madaso, Yassin, single, Sajenti, Kibunango, RR, Morani75, Semjato, Kuntakinte, Kevo, KESHaija, streetwiser, Mbalamwezi, BantuGirl, @ Baba_Enock, BAK, Victoire, Kaizer, Ben Saanane, Mzozo wa Mizozo, Mshiiri, Nungunungu, ladslaus, Englisher, bintihiyada, Udadisi, Iteitei Lya Kitee, Scolari, bonnie, Steve Dii, Prince C, Mokoyo, Adharusi, Sista, gesselle, Angel Nylon, Bujibuji, m_kishuri, darasa7, tetere, Howt Lady, Straight corner, Mathenge, mtwa mkulu,, Katavi, Mtoboasiri, Renegade, Elungata, Mamndenyi, Wise1, idawa, pono, kitwala, MSALANI, rosatan, Princely, mcubic, BrightonMsia, lusungo, Ansah Miles, ankol, Deo Corleone, clemence, Nokla, slim5, Himidini, MGIRIKI., Mbimbinho, lutayega, ntamaholo, Amorbwoyo, Kapo Jr, ntamaholo, pono, kidikudi, DAVIDSON 689, Chakava, MAPIKIPIKI, m2n, WILLY GAMBA...
Na wengine wote niliowasahau.
 
Attachments

  • mikataba.jpg
    mikataba.jpg
    133.8 KB · Views: 1,290
Last edited by a moderator:
Nina kama vitabu vitatu vya Joram, Naifahamu Shughuli yake nakisuburi kwa hamu sana mkuu

Tutarudi na roho zetu,Malaika Mweusi na Joram lazima ufe.
 
nina kama vitabu vitatu vya joram, naifahamu shughuli yake nakisuburi kwa hamu sana mkuu

tutarudi na roho zetu,malaika mweusi na joram lazima ufe.
ni malaika wa shetani
 
Aisee Huyu Mwandishi Namkubali Sana,ni Moja Ya Watu Walionitamanisha Sana Kufanya Kazi Ya Uandishi,nikawa Namtafuta Sina Hili Wala Lile,napiga Namba Yake Haipatikani,kumbe Maskini Tayari Hayupo Nasi Tena Duniani,siyo Siri Roho Iliniuma Sana,nami Nipo Mafichoni Naandika Vitabu Vya Hadithi,siku Nikiibuka Nina Uhakika Mtanikubali,tuombe Mungu.
 
Kwa wale wasomaji wote wa riwaya za kipelelezi, napenda kutumia fursa hii kuwatangazia ujio wa kitabu kipya cha MIKATABA YA KISHETANI kilichoandikwa na hayati Ben R. Mtobwa. Kitabu hiki kitapatikana bunju A, kuanzia tarehe 07/01/2015 kwa shilingi 10,000 (elfu kumi) tu za kitanzania.
Kwa wale ambao itakua vigumu kufika mahala vitabu vilipo basi tunaweza kuwasiliana na ukapelekewa pale ulipo.

Kwa mawasiliano zaidi unaweza kupiga simu namba:
0712 504985
0684 081708
cc: The Boss, Yo Yo, Mama, Mpita Njia, Mzee Mwanakijiji, DDT, Shadow, Philemon Mikael, Tonga, Ng'wanza Madaso, Yassin, single, Sajenti, Kibunango, RR, Morani75, Semjato, Kuntakinte, Kevo, KESHaija, streetwiser, Mbalamwezi, BantuGirl, @ Baba_Enock, BAK, Victoire, Kaizer, Ben Saanane, Mzozo wa Mizozo, Mshiiri, Nungunungu, ladslaus, Englisher, bintihiyada, Udadisi, Iteitei Lya Kitee, Scolari, bonnie, Steve Dii, Prince C, Mokoyo, Adharusi, Sista, gesselle, Angel Nylon, Bujibuji, m_kishuri, darasa7, tetere, Howt Lady, Straight corner, Mathenge, mtwa mkulu,, Katavi, Mtoboasiri, Renegade, Elungata, Mamndenyi, Wise1, idawa, pono, kitwala, MSALANI, rosatan, Princely, mcubic, BrightonMsia, lusungo, Ansah Miles, ankol, Deo Corleone, clemence, Nokla, slim5, Himidini, MGIRIKI...
Na wengine wote niliowasahau.

nitakutafuta chemba
 
Last edited by a moderator:
Aisee Huyu Mwandishi Namkubali Sana,ni Moja Ya Watu Walionitamanisha Sana Kufanya Kazi Ya Uandishi,nikawa Namtafuta Sina Hili Wala Lile,napiga Namba Yake Haipatikani,kumbe Maskini Tayari Hayupo Nasi Tena Duniani,siyo Siri Roho Iliniuma Sana,nami Nipo Mafichoni Naandika Vitabu Vya Hadithi,siku Nikiibuka Nina Uhakika Mtanikubali,tuombe Mungu.

we unaonaje ukianzisha uzi wake!
 
Kwa wale wasomaji wote wa riwaya za kipelelezi, napenda kutumia fursa hii kuwatangazia ujio wa kitabu kipya cha MIKATABA YA KISHETANI kilichoandikwa na hayati Ben R. Mtobwa. Kitabu hiki kitapatikana bunju A, kuanzia tarehe 07/01/2015 kwa shilingi 10,000 (elfu kumi) tu za kitanzania.
Kwa wale ambao itakua vigumu kufika mahala vitabu vilipo basi tunaweza kuwasiliana na ukapelekewa pale ulipo.

Kwa mawasiliano zaidi unaweza kupiga simu namba:
0712 504985
0684 081708
cc: The Boss, Yo Yo, Mama, Mpita Njia, Mzee Mwanakijiji, DDT, Shadow, Philemon Mikael, Tonga, Ng'wanza Madaso, Yassin, single, Sajenti, Kibunango, @RR, Morani75, Semjato, Kuntakinte, Kevo, KESHaija, streetwiser, Mbalamwezi, BantuGirl, @ Baba_Enock, BAK, Victoire, Kaizer, Ben Saanane, Mzozo wa Mizozo, Mshiiri, Nungunungu, ladslaus, Englisher, bintihiyada, Udadisi, Iteitei Lya Kitee, Scolari, bonnie, Steve Dii, Prince C, Mokoyo, Adharusi, Sista, gesselle, Angel Nylon, Bujibuji, m_kishuri, darasa7, tetere, Howt Lady, Straight corner, Mathenge, mtwa mkulu,, Katavi, Mtoboasiri, Renegade, Elungata, Mamndenyi, Wise1, idawa, pono, kitwala, MSALANI, rosatan, Princely, mcubic, BrightonMsia, lusungo, Ansah Miles, ankol, Deo Corleone, clemence, Nokla, slim5, Himidini, MGIRIKI...
Na wengine wote niliowasahau.
Vikianza kupatikana nishtue nikutafute
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom