Chagua jina litakalofaa pale taifa letu litakapokombolewa
NB: unaweza kutaja sababu
1. Tanganyika
2. Tanzania
Mwisho wa kupiga kura ni tarehe 18.01.2026
Tayari mapema sanaWeka kura yako tafadhali
Yote hayafai. Nchi iitwe KilimanjaroChagua jina litakalofaa pale taifa letu litakapokombolewa
NB: unaweza kutaja sababu
1. Tanganyika
2. Tanzania
Mwisho wa kupiga kura ni tarehe 18.01.2026
Ulishawahi kujibu Ile mitihani yenye maswali ya kuchagua? Ilikuwa unatoka ufafanuzi, kuongeza au kupunguza jambo loloteTanganyika jina baya halina hata swaga
Bora ingekuwa TangaStan