Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,809
- 8,970
ni mimi tu ndio sielewi au katiba yetu haijawa wazi kwenye masuala ya muungano?
Kuna Mkuu wa mkoa walikouliwa waandamanaji kwa mafungu huko Songwe ni Mzanzibari pia! Je Zanzibar kuna mkuu wa Mkoa Mtanganyika? kuna Mwanasheria mkuu mtanganyika?
mbona mie sielewi?