Tanganyika imerudi

Tanganyika imerudi

Kwanza elimu itolewe watu wafaham MAANA ya Tanganyika, watu wa Tanganyika, Mipaka na Mambo yote ndo waulizwe irud au isirudi. Kwa mimi nasema IRUDI sababu naijua na kuifaham
 
A ndio irudi.

Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
 
Idadi inaendelea kuongezeka kwa wale wote wanaohitaji Tanganyika HADI SASA KATIKA MITANDAO MBALIMBALI MAONI YA WANAO HITAJI TANGANYIKA YAMEFIKA ZAIDI YA ELFU TATU,NAENDELEA KUPOKEA SIMU NA SMS MBALIMBALI DUNIANI KOTE KWA WATANZANIA WANAOHITAJI TANGANYIKA.
 
Back
Top Bottom