Tanganyika imerudi

Tanganyika imerudi

KWA WALE WAZALENDO WA TANGANYIKA HURU TUNAKUSANYA MAONI KUJUA NI WANGAPI WANAHITAJI NA WANGAPI HAWAHITAJI TANGANYIKA HURU.

ANDIKA NENO

a)NDIYO~TANGANYIKA HURU IRUDI.

b)HAPANA~TANGANYIKA HURU ISIRUDI.

Ndiyo Tanganyika irudi
 
oyeiko ngeleja kwanini usitengeneze poll tutakayokuwa tuna-click kwenye ndiyo au hapana nayo ikahesabu kura automatically?
Kwa hiyo hapa mwisho utahesabu?tuna hofu ya kuchakachuliwa.

NDIYO IRUDI.
 
Last edited by a moderator:
sasa mkuu mleta mada mwisho wa siku haya maoni yanaenda wap?.
anyway acha nitimize wajibu huu adhimi..
ndiyo Tanganyika irudi
 
kwa wale wazalendo wa tanganyika huru tunakusanya maoni kujua ni wangapi wanahitaji na wangapi hawahitaji tanganyika huru.

Andika neno

a)ndiyo~tanganyika huru irudi.

B)hapana~tanganyika huru isirudi.
....ndiyo irudi tena haraka sana..........kwa hili niko tayari kufa au kuondoa vizuizi......hapana kubebeleza hapa tutumieni hata nguvu,hatutaki muungano huu wa kijinga....zanzibar wanatufanya mabuzi.....
 
Ndiyo Tanganyika irudi.Swali ni hao wapemba mtawapeleka wapi wamejazana Tanganyika?
 
Tanganyika inaanzia ubungo mataA KWENDA BARA HAINA BANDARI HATA MANZESE IMO NDANI YA ZANZIBAR
 
Hiyo ndiyo bendera ya Tanganyika,vijana tupambane hadi hatua ya mwisho tanganyika irudi ccm tumewajua na ujanja wao kutaka kuiua tanganyika,TUSIMAME KIDETE TANGANYIKA IRUDI,NATOA RAI KWA SERIKALI ENDAPO SERIKALI TATU HAITA KUWEPO KATIKA KATIBA TUTAANDAMANA NA WATOTO WOTE HADI KIELEWEKE.
 
Back
Top Bottom