Tanganyika imerudi

Tanganyika imerudi

Leo mnakubaliana na mimi kuwa Nyerere alifanya makosa? swali kwa wale wanaopingana na Nyerere kutaka kuifufua Tanganyika aliyoiuwa.
 
ndiyo irudi mara moja hakuna kusubir katiba nipo udom 2mejipanga vizuri hata kwa damu udom tunasema itarudi tu lakini dam ya magamba sio ya wananch
 
Ndiyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
KWA WALE WAZALENDO WA TANGANYIKA HURU TUNAKUSANYA MAONI KUJUA NI WANGAPI WANAHITAJI NA WANGAPI HAWAHITAJI TANGANYIKA HURU.

ANDIKA NENO

a)NDIYO~TANGANYIKA HURU IRUDI.

b)HAPANA~TANGANYIKA HURU ISIRUDI.
Modes wangeweka hii vizuri ili iwe rahisi kuhesabu na kuona matokeo ya polling papo kwa papo.

Anyway, kama tunahitaji muungano uimarike turudishe TANGANYIKA kwanza!
 
Modes wangeweka hii vizuri ili iwe rahisi kuhesabu na kuona matokeo ya polling papo kwa papo.

Anyway, kama tunahitaji muungano uimarike turudishe TANGANYIKA kwanza!

Mkuu nakuunga mkono. Ila Tanganyika kwanza mengine baadae
.
 
Back
Top Bottom