Njaa Mbaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 666
- 178
Nimegundua wengi mna lilia jina tuu lakini mkiulizwa Tanganyika mnayo lilia himekwenda wapi hamuwezi kujibu.
Hapa watu wa kulilia uhuru wao ni wa zanzibari sio nyinyi mnao lilia jina la Tanganyika bila sababu.
Siyo kweli unachosema inawezekana ikawa wewe ndiyo hujui watu wanachokitaka ukadhani wanataka jina tu la tanganyika ni zaidi ya hilo jina. Watu wamesoma wanadai kitu wanachokijua