Tanganyika imerudi

Tanganyika imerudi

A: Tanganyika irudi ili tulinde rasilimali zetu maana hili pande la ardhi halina serikali ndo maana manyang'au yanagawa rasilimali zake bure bila uchungu. Tunataka Tanganyika yetu.
 
tanganyika hatutaki hata kuisikia.nchi gani inaitwa nyika? ina maana nchi ya mapori na kutanga tanga
 
Come back Our Beloved Lost Tanganyika.
 
Kwanza irudi mambo mengine yatafuata.
 
We unachobisha nini jina au Tanganyika isirudi ? Wazanzibar nchi za watu wanajitambulisha km wanzazbar na si Watz na sisi pia tunataka Tanganyika yetu ili tujidai tumechoka kuwabeba watu ambao hawana fadhila. Come back Tanganyika.

tanganyika hatutaki hata kuisikia.nchi gani inaitwa nyika? ina maana nchi ya mapori na kutanga tanga
 
We unachobisha nini jina au Tanganyika isirudi ? Wazanzibar nchi za watu wanajitambulisha km wanzazbar na si Watz na sisi pia tunataka Tanganyika yetu ili tujidai tumechoka kuwabeba watu ambao hawana fadhila. Come back Tanganyika.

kwani umenyimwa kujiita mtanganyika? mbona mtikila mbona siku nyingi anajiita. nawewe jiite mtanganyika kuanzia sasa hivi
 
Nitaanza kujiita Tanganyika itakaporudi rasmi usijali. Join Tanganyika Team.

Irudi mara moja. Wazenji walipogundua sasa watanganyika wako serious wamekunja mikia ka mbwa koko. kelele zote kwisha. Ila hawa wtu lazima tuwaangalie sana wasije wakaanza kutuchomea tena biashara zetu na makanisa yetu huko kwao. Wakirudia ujinga wao tu wala si serikali tatu tena, ni talaka tatu tu pwaa!
 
Back
Top Bottom