Pole sana mkuu,
Nimesikitika sana kwani toka tulipomwona nilihisi kama alikuwa anaendelea vizuri....
Tuko pamoja na wewe. Tutakuja kukusalimia na kuwapa pole wafiwa....
RIP Baba yetu mpendwa..!
cc: CHUAKACHARA, Mwanyasi, KOKUTONA, YNNAH, Arabela...
Babu DC!!
Babu DC mwenyekiti twaomba mwongozo
dah! pole sana mkuu, Mwenyezi Mungu akupe wepesi kipindi hiki kigumu.Mzee kafariki leo saa tisa kasoro usiku, Msiba utakua makorola. R.I.P mzee Saleh.
Innah lillah wa innah lillah rajuh
naomba iwekwe update ya kifo juu mwanzo kabisa, na heading pia ibadilike, mods Invisible mnaweza mkasaidia hili.
Habari wana cc.
Nimekuja ghafla Mkoan Tanga nauguliwa na mzee wangu kalazwa hospitali ya bombo..
Naomba kukaribishwa
Halafu wewe!
Mzee kafariki leo saa tisa kasoro usiku, Msiba utakua makorola. R.I.P mzee Saleh.
Innah lillah wa innah lillah rajuh
07160765393 namba ya tigo pesa hii
Kwa wale ambao wako Tanga, naomba tukutane maeneo ya Makorora hospital saa 9 mchana ili tukawasalimie wafiwa.
Mazishi ni kesho ila taarifa zaidi tutazidi kupeana.
Babu DC!!
Cc: CHUAKACHARA, KOKUTONA, Mwanyasi, YNNAH, Arabela.
Nimefanyaje jamani
Asanteni wote kwa dua zenu na michango yenu ya hali na mali sitaweza kuwataja kwa majina hapa ila much respect to TANGA WING. mlichoonesha hata ndugu hawajaweza kukifanya. Narudia tena asante Dark City, Mwanyasi, YNNAH, KOKUTONA tumempumzisha salama mzee siku ya ijumaa katika makaburi ya mswambweni.
Na mimi leo naondoka tanga kurejea kibaruani Lindi. Asanteni sana says Negrodemus au kapalampya
Usijali rafiki. We are friends to love, to care and to comfort each other katika shida na raha.Asanteni wote kwa dua zenu na michango yenu ya hali na mali sitaweza kuwataja kwa majina hapa ila much respect to TANGA WING. mlichoonesha hata ndugu hawajaweza kukifanya. Narudia tena asante Dark City, Mwanyasi, YNNAH, KOKUTONA tumempumzisha salama mzee siku ya ijumaa katika makaburi ya mswambweni.
Na mimi leo naondoka tanga kurejea kibaruani Lindi. Asanteni sana says Negrodemus au kapalampya