Tanga: Waja leo kuondoka majaliwa

Tanga: Waja leo kuondoka majaliwa

Sijawah kwenda raskazone ngoja siku nijaribu
Kinachowatofautisha wanawake wa Tanga (hasa wadigo) na wanawake wengine ni Jiko plus Kauli.

Jiko: Sehemu yoyote aliyopita mwarabu basi hiyo sehemu kwa mapishi itakuwa hatari!!!

Kauli: Ukitaka utulivu wa akili plus mdeko mtafute mtoto wa kidigo!! Wanajua kudekeza watoto wale!!Siyo mbaya hata kama unahonga coz tunahitaji utulivu wa akili.

Ufundi wa kitanda:Wanawake wa kusini na wachache wa pwani wanafundwa sana kwenye lile tendo lakini wanapigwa gape kwenye kauli plus jiko (Mahaba)!!!!!

Mwanamke hata akiwa mzuri sana kitandani kisha ana upungufu mkubwa wa kauli plus jiko inahitaji moyo mkubwa kumvumilia kama wao wanavyopata ugumu kumvumilia mwanaume asiyekuwa na pesa!!

Nb: Ni mtazamo wangu!!!!!!!!!!!!
 
Aisee Tanga kusafi halafu kumepangiliwa vizuri

1786203973965.png
 
Mwanamke hata akiwa mzuri sana kitandani kisha ana upungufu mkubwa wa kauli plus jiko inahitaji moyo mkubwa kumvumilia kama wao wanavyopata ugumu kumvumilia mwanaume asiyekuwa na pesa!!
 
Unajua huwa naku-admire sana humu jukwaani. Nilivyoona uzi wako nikatulia nisome kwa umakini ili nikushushe vyeo kutokana na tabia za huo mkoa na wengi wanavyousifia kwa ngono..!!

Lakini God is good nilichokitegemea ndicho nilichokutana nacho.

Mkuu wewe unajiheshimu sana katika member watatu wenye adabu na wewe humo.. unajua nini unachofanya..!!
Sio kama mitaahira mingi humu..

Ingekuwa wengine uzi mzima ungejaa ulivyombinua mwanamke na kumpelekea moto. Tungedhalilishwa hapa na uongo tungetungiwa..!! 😹😹
 
Wacha weeh 😹
Sema wewe unapenda u-sultan..
Sasa tafuta pesa ili uziishi ndoto zako..!!
 
Unajua huwa naku-admire sana humu jukwaani. Nilivyoona uzi wako nikatulia nisome kwa umakini ili nikushushe vyeo kutokana na tabia za huo mkoa na wengi wanavyousifia kwa ngono..!!

Lakini God is good nilichokitegemea ndicho nilichokutana nacho.

Mkuu wewe unajiheshimu sana katika member watatu wenye adabu na wewe humo.. unajua nini unachofanya..!!
Sio kama mitaahira mingi humu..

Ingekuwa wengine uzi mzima ungejaa ulivyombinua mwanamke na kumpelekea moto. Tungedhalilishwa hapa na uongo tungetungiwa..!! 😹😹
God is good kumbe na mimi kuna mtu anani admire hapa jamvini💟💟💟
 
Back
Top Bottom