TANGA: Rais Magufuli azindua stendi mpya ya mabasi Korogwe. Prof. 'Maji Marefu' atamani atawale miaka 20

Ndiyo maana anawatukana ni wapumbavu, amewashika hadi kisigino kawaziba macho hadi hawaoni mbele wanamuona yeye tu.
 
Filosofia ya magufuli imekubalika, anatakiwa kuacha msingi mzuri kwa atakayefuata, ujenzi wa mifumo imara ya kiutendaji ni muhimu sana.
 
Sawa ni cheap maana aliwaahidi na limetekelwzwa kwako ni cheap lakini kwake ni ahadi imetimizwa akimaliza kuzindua endelea kufuatilia ziara yake ujue atakua wapi tena maana alipo upo!!
Sio mbaya lakini mradi watanzania wenyewe ndo kama wewe... Twende tu, tutafika.
 
JPM apingwe kwa suala la demokrasia tu, ila mengine tumpongeze anafanya vizuri, tumuunge mkono kwa mazuri anayoyafanya. Ila suala la demokrasia anahitaji kupingwa na kila mtu mwenye akili timamu.
 
Ndio faida ya kuishi kwenye nchi huru, unaongea chochote unachojisikia haya andaa mwaliko atakuja kusimamia kwenye ukoo wenu.
Tangu ulipoletwa mjini kwa mbio za mwenge na tangu kuzaliwa kwako kulitokana na shuguli za mikesha ya mwenge basi umedhani biashara ya buku 7 lumumba ndio kazi pekee mjini,,, kafanye kazi wewe muuzaji
 
Prof. Maji Marefu amesema Rais afanye miaka 20 ili nchi inyoke. Amesema hayo katika mkutano wa kufungua stand ya Mabasi Korogwe.

Je hizi ndo walisema kampeni???
Ifike kipindi Polisi ikamate na kuwahoji hawa watu wanaoongea kinyume na matakwa ya katiba... Ni uchochezi huu
 
Prof. Maji Marefu amesema Rais afanye miaka 20 ili nchi inyoke. Amesema hayo katika mkutano wa kufungua stand ya Mabasi Korogwe.

Je hizi ndo walisema kampeni???
Mnyooshaji mwenyewe hajanyooka anawezaje kunyoosha nchi-- This country need strategic president, collaborative
 
Filosofia ya magufuli imekubalika, anatakiwa kuacha msingi mzuri kwa atakayefuata, ujenzi wa mifumo imara ya kiutendaji ni muhimu sana.

hilo mbona linawezekana kwa miaka mitano tu, na pia katika hiyo hiyo miaka mitano mengine yakafanyika pia...
 
Tanga Wananch Wanahali Mbya Wanaish Kwnye Nyumb Za Tembe Afu Mnaleta Siasa Za Kijinga Eti Tanga Ccm Na Ccm Ni Tanga,upuuzi Mtupu
 
Back
Top Bottom