Tanga: Polisi waua majambazi watano

Hivi huu uuaji wa majambazi nchi nzima kwa mtindo unaofanana ni swaga za askari polisi au ni kweli.Mbona hakuna hata sehemu moja jambazi aliyejisalimisha ili kuisaidia polisi kote wanauwawa wote?
 
Kama Kuna kitu hua sielewii basi ni hawa wanaodhaniwa kua majambazi, kisha wanauwawa na story inaishia hapo hapoo.

USOGA WI KUA KATI MWINA NSONGOO
 
Sema siku nyingine hivi vyombo vya usalama inabidi viwakamate hawa waalifu wakanyee debe siyo kuwauwa tu.
 
Wewe ndiye unafikiri kwa matako, Unajuaje kama kweli kulikuwa na majibizano na risasi? Uongo wa kiwango cha juu umesemwa na mapolis hawa mara nyingi tu! Si ajabu hao ni wafuasi wa upinzani ndio wameuawa! Story za Mo unazikumbuka? Maelezo ya miili ya Coco beach unayakumbuka? Na hili wanaweza kuwa wanadanganya maana wamekuwa mahiri wa ku cook stories za uhalifu. Mimi siwezi amini maneno yao untill proved by an independent entity! Acha kufikiri kwa kutumia njia ya haja kubwa!
Acheni kutukanana matusi mazitomazito ya nguoni nyie.

Aliyewachonganisha ni mleta uzi. Habari 'kaiskwizi' sana sijui kwa manufaa ya nani!

Taarifa ya habari ilieleza kinagaubaga wakiambatanisha na picha namna vest la deraya la askari wa upelelezi lilivyofumuliwa kwa risasi za jambazi kwa kutumia bunduki aina ya shotgun.
Pia bastola iliyotengenezwa kienyeji yenye kutumia risasi za shotgun iliyokamatwa nayo ilioneshwa pia.
Kubanabana habari, kuandika kama mtu unashindanishwa kutuma habari ama uandishi wa kingumbalu kunapelekea watu kutunishiana mishipa ya shingo sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema siku nyingine hivi vyombo vya usalama inabidi viwakamate hawa waalifu wakanyee debe siyo kuwauwa tu.
Njia ya kumtia hatiani kisheria mwizi ama jambazi ni ndogo mno, kuliko tundu la sindano.

Njia iliyobora ni hii ya "kuwakamata harakaharaka", imesaidia sana kuleta utulivu wa kiwango cha kuridhisha nchini Tz.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni kutukanana matusi mazitomazito ya nguoni nyie.

Aliyewachonganisha ni mleta uzi. Habari 'kaiskwizi' sana sijui kwa manufaa ya nani!

Taarifa ya habari ilieleza kinagaubaga wakiambatanisha na picha namna vest la deraya la askari wa upelelezi lilivyofumuliwa kwa risasi za jambazi kwa kutumia bunduki aina ya shotgun.
Pia bastola iliyotengenezwa kienyeji yenye kutumia risasi za shotgun iliyokamatwa nayo ilioneshwa pia.
Kubanabana habari, kuandika kama mtu unashindanishwa kutuma habari ama uandishi wa kingumbalu kunapelekea watu kutunishiana mishipa ya shingo sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Come on my dear, all this can be dramatised! Katika awamu hii lolote linawezekana!
 
Watu watano wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wameuawa baada ya kutokea kwa majibizano ya risasi kati yao na Polisi wilayani Korogwe mkoani Tanga.

Tukio hilo limetokea wakati watu hao wakitaka kufanya jaribio la uporaji kwenye mashamba ya Mkonge ya Toronto.

Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Tanga, – Edward Bukombe amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa limetokea katika eneo la darajani kwenye mji mdogo wa Mombo.

Katika tukio hilo Polisi pia wamekamata silaha mbalimbali ikiwa ni pamoja na bunduki aina Shortgun na bastola iliyotengenezwa kienyeji.

Miili ya watu hao imehifadhiwa katika hospitali ya wilaya ya Korogwe, -Magunga .
Kwenye mashamba ya Mkonge wataiba nini? Zile scraper?
 
Wewe ndiye unafikiri kwa matako, Unajuaje kama kweli kulikuwa na majibizano na risasi? Uongo wa kiwango cha juu umesemwa na mapolis hawa mara nyingi tu! Si ajabu hao ni wafuasi wa upinzani ndio wameuawa! Story za Mo unazikumbuka? Maelezo ya miili ya Coco beach unayakumbuka? Na hili wanaweza kuwa wanadanganya maana wamekuwa mahiri wa ku cook stories za uhalifu. Mimi siwezi amini maneno yao untill proved by an independent entity! Acha kufikiri kwa kutumia njia ya haja kubwa!

Mkuu achana naye huyo hadi siku yamfike. Mbona wengi waliokuwa wakiwasifia polisi leo hii ukiwasikiza utashangaa?

Ni suala la muda tu. Muda haujawahi kuongopa.
 
Back
Top Bottom