Tanga mpooooo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanga mpooooo?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mohammed Shossi, Jan 22, 2011.

 1. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #1
  Jan 22, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Waja leo warudi leo msemo huu ni maarufu sana masikioni mwenu na moja kwa moja mtu akiusema unajua hiyo ni Tanga line, Tanga Raha, Kunani paleee, Makorora Wadeka, Chuda Raha au mapenzi yalipozaliwa. Tanga ni mji wenyesifa kemkem miongoni mwa miji ya pwani na watu wake ni wakarimu sana. Nipo safarini naelekea Tanga natamani ile ahadi ya "barabara ya baharini" iliyotolewa na Mhe Mzirai ingeibwa na watawala ili ni enjoy sea view on my way to Tanga. Naenda Tanga kusalimia wazee, na zaidi ya hapo nikipata kimwana nitachumbia maana umri unaenda. Shosti ameniambia yeye toto la Tanga. Natamani angenielekeza kwao niwaone ndugu zake maana yeye yupo "kichina zaidi" na si kihalisia kama wanawake wengi humu jamvini. Naanza kusinzia na kuishiwa na mawazo kikubwa safari sio kifo nikirudi nitawaletea zawadi.
   
 2. s

  shosti JF-Expert Member

  #2
  Jan 22, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  ningekuelekeza ila naona unataka kwenda ntilia fitna huko
   
 3. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #3
  Jan 22, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  Wasalimie pale Nguvumali bucha!!!
   
 4. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #4
  Jan 22, 2011
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  UNFORTUNATELY,Tanga for all its past granduers,ni mkoa ambao at least unge marktime tungeelewa,but unfortunately it is in decline sasa sijui sababu sons and daughters wote mmekimbia?It pains me a region of historical importance simple sinking into oblivion.
   
 5. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #5
  Jan 22, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Sipendi uwe mtabiri sina nia hiyo nia yangu ni njema na pengine tukaunga udugu who knows?
   
 6. s

  shosti JF-Expert Member

  #6
  Jan 22, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Binaadam wote ndugu au huukubali huo msemo,karibu sana Tanga
   
 7. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #7
  Jan 22, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Usijali mgosi
   
 8. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #8
  Jan 22, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Shssssss usiseme watakuambia unaingiza siasa na watakuja na habari za kiintelijensia eti watu wa Tanga ni wavivu swali zile nyumba kuanzia barabara ya kwanza mpaka ya 21 walijenga wakoloni? Kama zile za kwenye makambi ya katani? Zilijengwa kwa nguvu za wenyeji wa mji huo wengi walikuwa wafanyakazi kwenye jumuia ya afrika mashariki. Tanga ilikuwa ni mji wa mapinduzi ya viwanda kuanzia katani, plastic "amboni", chuma, maziwa, cement, sabuni na. Bidhaa kibao. Pale korogwe kulikuwa na kiwanda cha kusindika matunda kiliwahi kushinda medali ya dhahabu ya kimataifa kwa ubora wa bidhaa zake kinaitwa TanGold kimekufa juzijuzi nasikia Tangold imechota mabilioni BoT sijui hii ya Korogwe au "yao" maana wananchi wa Korogwe wamechoka na ndio kisha cha kumpiga chini mbunge wetu naibu waziri wa wate.
   
 9. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #9
  Jan 22, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Kuna udugu wa kibinaadam kwani sote ni watoto wa Adam niutakao mie udugu wa damu si wa adamu. Asante nipikie bada mchuzi chukuchuku wa kuku wa kienyeji ngogwe za kuchoma na papa na miswele.
   
 10. s

  shosti JF-Expert Member

  #10
  Jan 22, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  huu undugu wa damu sijauelewa ila kuhusu makulaji utakula usaze Tanga raha bwana,wataka nkupikie nini muamu.
   
 11. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #11
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hapooo!!!!
   
 12. s

  shosti JF-Expert Member

  #12
  Jan 22, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  ndio fitna zenyewe nilizomaanisha na huku kasahaniita mchina
   
 13. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #13
  Jan 22, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Basi yaishe naomba kideti!
   
 14. s

  shosti JF-Expert Member

  #14
  Jan 22, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Boooo kwa hicho bado kigori nkivunja ungo tu ntakutafuta
   
 15. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #15
  Jan 22, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,551
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Mohamed una undugu na Fatma, Sharrif Shossi wa Korogwe, karibu na stend na ile Safari Park Hoteli ya Zamani?
   
 16. Ikimita

  Ikimita JF-Expert Member

  #16
  Jan 22, 2011
  Joined: Oct 23, 2010
  Messages: 302
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mohamed please do me a little favour, siku moja pita hapo Chumbageni kuna msichana mmoja anaitwa Rehema (ana sura ya mviringo halafu mpana kwenda chini). Ask her in a candid way, why she doesn't want to come back to Dar. Alikwenda home kwao kwa ajili ya Mwaka Mpya, lakini zimepita zaidi ya wiki tatu sasa. It's getting crazy with just only a week left before I leave, please.
   
 17. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #17
  Jan 22, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Malau, Saburia, Amina, Marehem Shossi na Mwanaisha yes ni watoto wangu mimi baba yao mdogo!
   
 18. s

  shemu Member

  #18
  Jan 22, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 15
  Kaka mbona unaharaka, kama kweli wapajua Tanga basi inshalah kila kitu chapatikana ati wewe ukifika nenda sehemu inaitwa nyinda maeneo ya chuda au Co fee bar ulizia Real Madrid, Chelsea, Man u au Arsenal haja yako yote itakuwa imekamilika. Ukipata huduma hapo unaenda zako Tanga beach resort kuosha nyota.
   
 19. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #19
  Jan 22, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,551
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  I see, vizuri sana wapo wapi hawa ndugu zangu Sharif na Fatma? , nilisoma nao pale Boma Primary School.
   
 20. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #20
  Jan 22, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Sina haraka mkuu na hakuna anaekuwa na haraka na kwao, sisi ndio who is who wa Tanga muulize Kiraka anaijua Family yetu hata pale sub scania wanajua sisi ndio watu wa kwanza kununua Scania brand new Tanzania tukifuatiwa na Mwanamboka. Nani alieishi Tanga asieijua Shossi Transpoter?
   
Loading...