Dah! Imemaliza eti masomoni nairobj mika 18. Hiyo tayari dosari.Umekaa wiki mbili tena umeishia huko uswahili a.k.a barabara za namba, halafu unakuja na jibu lako kama hilo? Acha kuwadanganya watu.
Mji umekufa lakini watu wanaishi na idadi yao inaongezeka kila siku.
Usafiri umeongezeka, mabasi yanaongeza ruti na ndege zimeongezeka pamoja na meli halafu unasema mji unakufa.
Viwanda vipya vya saruji (Sungura na Rhino) vimefunguliwa huku wachina wakitarajia kujenga kiwanda kikubwa cha saruji kuliko vyote ukanda wa Afrika Mashariki halafu unasema mji umekufa?
Site mpya za Mwahako, Neema, Kange, Kasera, Pongwe mpaka Machui umezitembelea? Kama huko ni mbali shuka kidogo na Karume road ukianzia Duga mwembeni mpaka Tanga Beach Resort uone makao mapya.
Nyumba chache za makuti zilizobakia hapo utakuta wengi wa wamiliki walishakufa na walioachiwa urithi wana migogoro nazo. Hata hvyo ujenzi wa makuti ni utamaduni lakini sio kiashiria cha umaskini.
Watu kukaa barazani kwenye mikeka wakicheza bao na kunywa kahawa sio kama hawana kazi, hapo wamebarizi baada ya kazi au wakisubiri waingie kazini jioni au usiku kwa wale wavuvi.
Ukumbuke wengi wa wanamji ni waislamu hivyo huwezi kuwakuta baa au vilabuni wao hukaa vibarazani mwao.
Fanya utafiti wako kisomi kisha uje tena.
Mkuu kila mji Tz kuna sehemu hasa za wenyeji hazijaendelea na kuna sehemu za makazi mapya zimeendelezwa. Uliza hapo Tanga ni sehemu gani zimeendelezwa na kuwa na majengo ya kuvutia. Nimeishi zaidi ya mikoa saba tofauti Tz nimegundua Mara nyingi wenyeji wa mji wanadharaulika au kushutumiwa kwa tabia za hovyo kwa sababu ukifika sehemu lazima utajua mapungufu ya wenyeji.Nimekujibu koz at least you deserve it.... Mkuu imagine you have left a place after 18 years unarudi unakuta nyumba za makuti in the middle of the town
Unakuta nyumba zimekatiwa umeme barabara 13 na14 kweli miaka hii watu wanashindwa kuendelea.....
Unatoa jibu jepesi mno. Maana yake ni kutaka kujua kama unaijua tanga marefu na mapana yake.We jamaa naona unataka league anyways bas Tanga in kubwa kama NY
My family is there now so ntakuwa nakuja Mara kwa maraKaribu ten tanga
Haya usisite kunitembelea Insha'AllahMy family is there now so ntakuwa nakuja Mara kwa mara
Na tangu awape ahadi hiyo hataki kukanyaga tena maana atadaiwa chenchi ya barabara ya tanga pangani!Jamaa wanadai kwa nini MAGU ( DEREVA WA LORI) anataka kujenga vi-wonder Dodoma wakati alipokuja Tangamano aliwapa ahadi ya kufufua viwanda vifuatavyo
Kiwanda cha sabuni ya Mbuni
Matunda toka LUSHOTO
Mashamba ya Mkonge
Nk.......?
Kwa sababu kuna waganga wazuri wa kienyeji.[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji15]Hivi ilikuwaje Tanga ikapewa hadhi ya Jiji..!!?
Hujatembea kaka. Nenda kigima, mwanza, shinyanga, mara ukaone watu wanavyolala na mbuzi chumba kimoja. Wanasema nyumba za makuti, si afadhali wao wanalala kwenye tembe za nyasi hakuna kitu.Nmezaliwa tanga nmesomea huko na mpaka leo wazaz wng wako tanga lkn kiukweli ni kwamba ukiwa tanga huwez kuona kama ule mkoa umedoda mpaka utoke uende sehem zilizochangamka then ukirud tanga ndio utaona namna gan ule mkoa ulivyodorora...
.
Hata wanaotetea hawaon kama tanga ipo nyuma kimaendeleo labda mpaka nawao watoke kidogo wakajichanganye sehem nyngne ndio wataelewa namna ambavyo tanga yetu inaretarded growth
Hizo data mbichiiiiiii hawazioni hapo kabisa. Wamefunga tinted. Nakuho kwao kila mwaka mbolea ya ruzuku na njaa kama kawa kama dawa.Hawa Wanaropoka ropoka.... Sasa hebu tumuulize mtoa mada ameona Tanga hapo... Wacheni mambo ya kibwege asubuhi asubuhi.
Inakuwaje iringa ni kiwanda kinachozalisha mabeki tatu wachawi na wenye viwango vya fifa? Hizo neema hawazioni?Tena si utafutaji pekee ni wavumbuzi. Heko woo...wooo...wooo...wuuuuu!
Utalimaje wakati mbolea za ruzuku zinapelekwa bara kila siku? Ushawahi kusikia tanga wamepewa mbolea za ruzuku? Sasa walime kwa msaada wa serikali gani wakati serikali wanasaidia watu wa kwao wasife na njaa?Tanga tumekaa sana
Watu wa tanga akili zao zote zinawaza dar na Arusha Pmj na kuwa Kuna ardhi nzuri ya kilimo
Tanga vijana wanaishi km wazee wanashinda kwenye kahawa
Mabint wakitanga wanavunga ni waarabu hawatak kujishughulisha,
Ila raha ya Tanga, Kuna samak I watamu sana
Na Mabint hawajui kukataa
Sasa kange akafuate nini? Mtu amejenga nyumba yake ya makuti fasi, umeme na maji ndani. Hakuna bugdha wala jekejeke, unataka aende kange akafanyeje? Hao wakuja ndio kiziri njia ya kwenda kwao hao unaowaita waswahili washafika hawana haja kwenda kukaa karibu na highway.Kange wamejenga watu wa kuja, mswahili wa Tanga kuhama kule uswahilin haitatokea yeye yupo tayar akae kwenye makut
Mamilioni kwa mabilioni wanachukua kulazimisha miji yao ikue, porini huko kwenye mbuzi wanajenga viwanja vya ndege. Wakikaa ooooo tanga haina maendeleo. Hizi chuki za hovyo kabisa.mikoa inayodidimia inakuwa haijaliwi, na inayopaa fedha za serikali zinahusika sana
Wajemge miji yao waondoke wakakatane mapanga vizuri.Mueleze huyoo [emoji108]
Ulizaliwa kwenye chupa ya chai?Shida watu wake wamewekeza kwenye mapenzi.