Hakuna kitu Kange. Walidhani stand mpya italeta mabadiliko, hakuna kitu. angalia yale maframe ya maduka kibao hakuna wa kuyapanga!
Sure! Kanga hata hivyo bado umiliki wa pale haujakaa sawa. Kuna mgogoro mkubwa hapo hivyo wenye akili hawajengi , wamesimama. Mji hautanuki hata, labda Kange uzunguni, kuna wageni/wakuja wengi. lakini penye wenyeji hamna kitu. angalia mbugani kange, kwaramsingi hovyo wamaitana wadigo, wasambaa, hovyo wanajenga vijumba vya nyasi na matope! just visit those areas!Tena kuhusu stand ya Kange ndo Aibu tupu... stand ipo porin kiasa ya kwamba ikifika saa kum na mbili Jioni Hakuna Basi linaloingia ktuoni na mabasi yote kutumia stand ya zamani.....
Dah. ..Tanga fix tupu..... Kinachosemwa na kilichokuwepo ni mbinu na ardhi[emoji13] [emoji13]Haa kuumbe wapo nyuma kiuchumi wakati uchumi wanao,nasikia tanga ndio mapenzi yalizaliwa huko,sasa huo ufundi wao badala wautumie kuteka wafanyabiashara wakubwa wakubwa wenyewe wanadaka vidagaa vidogo visivyo na hela aisee
Utamaduni wao nyumba za bati na vigae Joto wanasema.. Waacheni wenyewe wameridhika.. Chukulia mombo na Korogwe.wapi palipaswa Kuwa na maendeleo makumbwa. Jibu mambo ila kwakuwa wabaguzi wachagga wananunua Korogwe na kupaendeleza sanaWana great thinkers nimekuja mkoa wa tanga baada ya miaka 18 yaaani niliondoka mkoa huu mwaka 1999 kwenda masomoni Nairobi....
Tanga ni mkoa ambao sio ya kwamba umekufa Bali unazidi kudidimia na kupotea kabisa...Hakuna jitihada zozote nilizozisikia kwenye wimbo wa wagosi wa kaya wakimsifia Captain Mkuchika...
Tanga ni jij pekee ambalo unakuta nyumba ya makuti katikati ya jiji( barabara ya ishirini)
.....
Umemaliza masomo na kurudi Tanga,bila shaka utaonyesha mfano mzuri wa kuijenga Tanga kuliko kusubiri "fulani atajenga" kua mfano "inspiration" wengine watafuata tu,Wana great thinkers nimekuja mkoa wa tanga baada ya miaka 18 yaaani niliondoka mkoa huu mwaka 1999 kwenda masomoni Nairobi....
Tanga ni mkoa ambao sio ya kwamba umekufa Bali unazidi kudidimia na kupotea kabisa...Hakuna jitihada zozote nilizozisikia kwenye wimbo wa wagosi wa kaya wakimsifia Captain Mkuchika...
Tanga ni jij pekee ambalo unakuta nyumba ya makuti katikati ya jiji( barabara ya ishirini)
.....
Umemaliza masomo na kurudi Tanga,bila shaka utaonyesha mfano mzuri wa kuijenga Tanga kuliko kusubiri "fulani atajenga" kua mfano "inspiration" wengine watafuata tu,
Be the change that u wish to see there.
Huyo mleta mada haijui TangaKwa mji wa Tanga,ninavyoukumbuka barabara 20,sio mjini,mjini ni kuanzia Barabara 14 kuelekea posta mpaka raskazone.Na kuna aliyenieleza kuna Kange uzunguni na Tanga beach,maeneo hayo ndio Tanga mpya.Maeneo hayo kuna nyumba za uhakika na mitaa ya kisasa.
Ina maana hapo Tanga hakuna biashara? watu wanaishije sasa? Kwahiyo huna solution yeyote ya kuuokoa mkoa wako pamoja na kua masomoni for 18 yrs?Let's say nafungua Biashara... hv watu wanaoshinda wakicheza Draft na karata huku wanashushia na Kahawa do they have the economy power....?
Hizo week mbili umefanya jambo gani la maana la kusaidia uchumi wa Tanga?Nina week ya pili sasa na kila baada ya week mtaani kwetu kunafungwa spika kubwa Sana kusherehekea Harusi... pamoja na maisha kua magumu Sana Vijana wanao na kuacha nimeambia ya kwamba ikikarabia mwezi mtukufu Harusi zinakua nying Sana na talaka zinakua nying mwezi mmoja baada ya mwezi mtukufu