Tanga: Miili ya watu yaokotwa ikiwa kwenye Viroba

Uongoz Kaz sana,pole mama Samia.Saivi hata mtu akinyonga habari itaandikwa na Watu watasema uongoz wa Samia mbaya
 
labda mzimu wa Magu ndiyo unafanya matukio hayo tunaomba uchunguzi wa kina ufanyike
 
Hii issue ya kusema zimetoka nchi jiran ilishawah kutolewa ata wakati wa Magufuli ila wanaharakati mlipinga kusema sio kweli cos kuna watu wanapotea! Na miili inaokotwa hivo watakuwa ni aoao!

Sasa sababu mlizozipinga mwanzo iweje leo zionekana na maana wakati marukio yanajirudia bado?
Hakuna watu wanaopotea siku hizi ktk nchi hii tulivu
 
Jamani hivi mtaacha lini kumshutumu Dkt Magufuli? Tangu lini Dkt Magufuli aliamrisha watu wauawe na kuwekwa kwenye viroba??? Yaani serikali kweli chini ya rais iue raia wake na kuwaweka kwenye viroba??? Hizo zilikuwa hujuma za akina born town kutaka kumharibia Dkt Magufuli, na kibaya hata MO alifanyiwa hivyo ili kuharibu taswira nzuri ya Dkt Magufuli. Najua mnajua na uzuri mwenye haki siku zote atasimama na ninyi na genge lenu mlishashindwa na mifupa ya Dkt Magufuli itaendelea kuwatesa mpaka vizazi vyenu vyote. Mtateseka na hamtakuja kuitawala hii nchi, siku zote mtakuwa watu wa kuteseka na mtatengwa na watanzania kama wasaliti wa haki na usawa.
Unaongelea Magufuli yupi? Huyu huyu aliyekuwa anatukana hadharani? Huyu huyu aliyempoteza Ben Sa8?
Huyu huyu aliyempiga risasi Lisu na kuzuia asichangiwe damu, akazuia wanaccm wasiende kumuona Nairobi, akamvua ubunge na kumnyima stahhiki zake?

Magufuli alikuwa shetani na nusu.
 
😁😁😁
AAZ66Gjc.jpeg
 
Hivi hawa mbwa wanaofanya haya mauaji, wanadhani na wenyewe wataishi milele!! Kwa nini umuue binadamu mwenzako kirahisi tu!!

"Mashahidi waliona gari aina ya Landcruiser nyeupe ikipita katika maeneo yao"

Nani ni wamiliki wakuu wa magari ya aina hii?
Hao ni majambazi, kwani lini majambazi waliacha kuua watu?
 
Uongoz Kaz sana,pole mama Samia.Saivi hata mtu akinyonga habari itaandikwa na Watu watasema uongoz wa Samia mbaya
Watu wanatumia haya matukio kisiasa, hata wakati wa Magufuli watu wanauana kwa visasi vyao vya kwenye biashara wanatupana kwenye viroba Ila mzigo anaangushiwa raisi.
 
Unaongelea Magufuli yupi? Huyu huyu aliyekuwa anatukana hadharani? Huyu huyu aliyempoteza Ben Sa8?
Huyu huyu aliyempiga risasi Lisu na kuzuia asichangiwe damu, akazuia wanaccm wasiende kumuona Nairobi, akamvua ubunge na kumnyima stahhiki zake?

Magufuli alikuwa shetani na nusu.
Ben hakupotezwa na Dkt Magufuli na wala Lisu hakupigwa risasi na yeye bali ni wazandiki walifanya vile kwa ajili ya kumharibia.
 
Back
Top Bottom