[emoji1] [emoji1] MgosiKuna jamaa aliwekewa wali kwenye kisahani kidogo na samaki wa kupaka ..msosi umepambwa na asumini jamaa akala mpaka asumini..kwenye kuoga kashangaa hashua zinawekwa kwenye kisosi zinasuguliwa..hatari sana...
Mshuza 1,mshuza 2.......10+1=barabara?-studioKuna jamaa aliwekewa wali kwenye kisahani kidogo na samaki wa kupaka ..msosi umepambwa na asumini jamaa akala mpaka asumini..kwenye kuoga kashangaa hashua zinawekwa kwenye kisosi zinasuguliwa..hatari sana...
Si ya kuchekahhhhahahhahahahahahha!
Kabisa ngoma ilikuwa gitta,chera lucky star taarabu na black star dah enzi hairudiTanga ya enzi hizo ilikuwa raha
Itafika nawe zamu yako ya kuhadithiaAfadhali mm nimekua juzi juzi tu nitasoma hadithi tu
Wadigo na wasambaa ni hatari mgoshi[emoji3]Mdigo hafai,
Tanga kutamu wewe Mimi asili yangu ni huko njombe nimeishi mikoa mingi sana but Tanga is where my heart belong .Whats so special huko tanga kiasi cha kufanya mkawaacha wake zenu
Lusanga muheza mwisho mwisho kabla hujaingia tanga jiji.lusanga sehemu gani
nije kukutembelea?
Njoo kisosora mgoshi au msambweni[emoji1]Looh!!! kesho ntahamia Majani Mapana mapemaaaa....
Mwakaboko usije tanga kwenu mwakaleli sijui itungi watakusahau.Tanga Tanga jamani Tanga na Watanga, Watangaaaa!!!
Nimezunguka mikoa mingi kidogo ni tanga pekee ndio nimesikiia0713 "TUZI"kwel we tangaTanga balaa, ila sasaivi wameongeza na tuzi. unapewa tuzi mpaka basi yani.
Kama kawaida ila ni za kuhesabuHivi 1980 Zilikuwepo lodge kumbe????