tanga kunani palee...........

Amney

Member
Feb 23, 2012
54
4
hello,wana jf boyfriend wangu anapenda nivae shanga ama chen kiunoni wakati wa mavituuuz,kwan zna kazi gani?
 
Uckute X' wake alikuwa anamfaid vzr akwa na hyo ki2,
We vaa tu "kuondoa ngoma juani".
NAWASILISHA.
 
Kama haikuwashi wala kukusumbua sioni kwanini umkatalie furaha yake.., na kama inakuwasha unaweza ukawa unavaa saa za kwenda kulala tu...

Hapo kila mtu atapata anachotaka..
 
mchaga wa kibosho na shanga wapi na wapi?

Unataka kuwa kama Jane tripo 0.
 
Vigezo, masharti, itifaki, izingatiwe! Keshakupa option nini anataka!
Usipotekeleza huoni atatafuta kule ambako option zake zinapata respond?
 
Kama haikuwashi wala kukusumbua sioni kwanini umkatalie furaha yake.., na kama inakuwasha unaweza ukawa unavaa saa za kwenda kulala tu...

Hapo kila mtu atapata anachotaka..
lakin mbona hamniambii matumizi yake n nn hasa
lakini haukunjibu ina raha gani?
 
sio kila kitu ukiambiwa unafanya!! vingine havina maana,je akikwambia anataka tigo utasemaje? kaeni mjadiliane na mtafikia muafaka.
 
Mwambie aache mambo ya kuiga km alizoea huko kwengine aende na sio kwako bt km na we unaona sawa we mkubalie 2 ili muende sawasawa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom